Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

All in all..... Bora wadada.... Wakiambiwa wakaka wavue nguo mbele za watu hakika hakuna atakaye vumilia kuwaangalia¡!!!
 
Ukitaka kupata uhakika karibu maeneo yakimara-tembea kwamiguu mpaka mbezi!Sina maana wachaga wote wanaishi huko ila huko wako wengi ki-% .Zaidi yahapo karibu Kilimanjaro,huko ndio kwetu!Nimeoa mchaga,mimi nimchaga hivyo nimetoa matoto yakichaga pure!Acha picha tafuta uhalisia!!
 
tunaomba pia mchoraji aongeze warangi,wapare,waasi,wambulu,na makabila mengine ili tuone nani yupo juu zaidi!waasi hoyeeeee!
 
wataka kusema hatufahamiani?? sema ukweli niko hivyo??
wachagga wa kuanzia 70's wote wanamaumbo mazuri kuliko wahaya na wengine mfano hoyce temu, snura, amina Mongi mm wenyewe nawe endelea
Yawezekana na kufahamu kwa jina jingine lakini kwa humu JF na Id hii ya gfsonwin narudia sikufahamu ila kama una ID 2 sema wewe ninaye mfahamu ni yupi lakini naona wewe unanijua na kunifahamu maana hata kabila yangu naona umeitaja! Kaizer naomba mwongozo huyu ninani??
 
Last edited by a moderator:
Mhhh!..Wahaya Maashallah!!!..kwa kweli mchoraji yuko sawa kabisa!...Hiyo kwa Waarusha ndiyo shepu halisi ya Wameru!..Att: Saharavoice
attachment.php

Not fair
 
Back
Top Bottom