Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Fine.......hata kama tuko hivyo mlivyotuchora......mnaonaje mapigo yetu.......hapana chezeya sisi......
 
khaaaa albatar ni nini...mbona hutaki kunirushi picha zangu bwana? au umezioa?
hivi pasaka hatutoki nje ya majiji chairman?
[EMAIL="c@Preta" Preta[/EMAIL] Preta

Usijali mpendwa.........ndio tupo mitamboni.......bata ni lazima.......na hivi wameshatuchora itabidi tutafute namna ya kuondoa stress.......stay tuned.......
 
Last edited by a moderator:
Kweli baba yangu umempatia Manka wangu, chaaaa!
 
Usijali mpendwa.........ndio tupo mitamboni.......bata ni lazima.......na hivi wameshatuchora itabidi tutafute namna ya kuondoa stress.......stay tuned.......
nakuaminia mamaaa wa mabill sasa hivi nipo course ya kunywa tusker lite,sinywi tena maji
 
kuna ukweli flani du! yaani nimecheka hadi basi, tafadhali ebu post na picha nyingine
 
Kwa hiyo Wachaga na Wanyakyusa ndio mabaounsa Na wengine ni wembamba? Mbona mimi sina "nyama"....
 
Back
Top Bottom