Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Kiruuuuuu.. Mbavu sina lol

Interesting one haha hahaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
lakn wote tunafanana na mungu kwa kuwa tumeumbwa kwa sura na mfano wake
 
hahahaha hiyo kali....ila hiyo ya wachaga kusema kweli ina ukweli...wachaga miguu hawana kabisaaaaaaaaaa!!!!!

kuna totozi za kichaga siku hizi sijui zimezaliwa wapi aisee! Ni watamu hata kwa macho, loh!
 
yani mmewaonea kweli waluguru na wachagga

naona manka ni ile "chini ninyime, juu nimwagie kabsaaaa"

Itabidi tuangalie soko la suruali za wanawake ili kuthibitisha hili
 
HUYU JAMAA KIBOKO! kAPATIA KOTEEEE! SASA ITABIDI WACHAGA WAOANE NA WAHAYA ILI KUPOTEZA MBEGU HIYO MBAYA. AAHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH MBAVU SINA!
 
Yani.. yani... yani... yani kabisa yani yani yani kweli kweli kweli kabisa haika yuko hifi kwelyi??
chagga.png
 
Yani.. yani... yani... yani kabisa yani yani yani kweli kweli kweli kabisa haika yuko hifi kwelyi??
View attachment 82219
Oteee...Nina wasiwasi na Tuko..ndiye muasisi wa hii kitu. Na ubemendeke....unamjua Miss TZ wa sesa wewe? naye yuko hivi? wewe unachezea chagga pipo wewe...
 
Last edited by a moderator:
Yani.. yani... yani... yani kabisa yani yani yani kweli kweli kweli kabisa haika yuko hifi kwelyi??
View attachment 82219
Oteee..ichu chi Haikapfo....ilyi nyi indo lya nuka naiyo......Nina wasiwasi na Tuko..ndiye muasisi wa hii kitu. Na ubemendeke....unamjua Miss TZ wa sasa wewe? naye yuko hivi? wewe unachezea chagga pipo wewe...
 
La forme du Haya c'est vraiment bien. . . J'aime beaucoup cette type du forme!
 
yuko fair kabisa coz alipoishia yeye ww unaweza kupaendeleza.Ila hiyo ya wachaga imenimaliza nguvu kwa vicheko.hahahahahahahahahahahahahahahhah

nyingine sina uhakika nazo ila hiyo ya kichaga kapata VEMA,TICK,
 
sasa naanza kumkumbuka Mama Lyimo jirani.....yani alikuwa bouncer. Kweli wachaga noma!
 
Back
Top Bottom