Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Asilimia 90 ya wanajamvi wanakubaliana na picha ya WACHAGGA!...
Kwahivo natoa Conclusive opinion kuwa wachaga generally wako na shepu hiyo.
Lakini pia kila aliyepita hapa ameona jinsi walivyoanzisha kilugha, japo hatujui walikuwa wanajadiliana nini, lakini kurudi kwenye kilugha inaonyesha retreat na kuwa WAMEPIGWA IKULU palepale kwa MANGI SINA!
halafu wewe........