Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Maana angekuwa fea angechora makabila yote

Makabila.JPG

Eti ndugu wanachi.... Hii ni sawa?
 
Kipokyerua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
yuko fair kabisa coz alipoishia yeye ww unaweza kupaendeleza.Ila hiyo ya wachaga imenimaliza nguvu kwa vicheko.hahahahahahahahahahahahahahahhah
 
hahahaha hiyo kali....ila hiyo ya wachaga kusema kweli ina ukweli...wachaga miguu hawana kabisaaaaaaaaaa!!!!!
 
:kev::kev:

nilikuwa naangalia hiyo picha nione dada zake Mwigulu walivyo lakini holaa!
 
Mimi kwa kweli sijawahi kuwacheki wamutu kwa makabila yao. Nilitaka nione na wangoni, wapare, wahehe, wasukuma nk...
 
Huo mstari wa "O degree kutoka usawa wa bahari" kumbe unatofautiana kimakabila!
 
Back
Top Bottom