Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Ningemkamata huyu aliyechora hii picha ningemkata makofi...

Kwi kwi kwi kwiiii amekosea hapo kwa Wanyaki angeongeza mifundo kidogo ili iwe XXXXL
 
hilo la wachaga nimelifanyia utafiti ni la kweli kabisa....umewasahau warangi na wapare
 
mi naamini kuwa watu wa sampuli zoote warefu, wafup, wanene wembamba,wenye shape no 8, kifua kikubwa/kidogo, hips/makalio n.k wanapatikana kila kabila ila hizo ni alama zinazoashiria tu some of women in those tribes walivyo lakini si za kutambulisha kuwa kila mwanamke wa kabila tajwa ndivyo alivyo.
 
Nkikise mana mshiki?....napatia chandu ukeri mcho?

orime manya phfo aisee,. lakini lure marero wa yaan wandu wekyekunda ilusougo yaan, wachaka luutie kunu jf, kila kyindo nyi soe, lanyeny lokyia loi?
 
Shiriisho shiphoy.......ngasuo inuu.....

aleka yaani., osuo cha inyi phfo nae,lakini ngammanya kindo, kiphfa luwawecha nawi n'kyo kyitewe wakundi ilurera-rera aisee,.awanuka wa warurure yaan kila kyindo wachaka,..nogamba ulako wawafeo nasoe.mburasi ingi
 
Back
Top Bottom