I thought ni mimi pekee niliona hiyo! Yaani niolewe niwe mfanyakazi wa mama mkwe???
Ni bora mchumba anieleze kusudi la kunioa kabla sijakubali! Lol
Ndoa zingine ni majaribu!
Best uuuupo?
Nimekumiso mpk macho yanawasha!
gume gume umekuja? Ndio maana naskia harufu tu hapa jana nmeona mmenichamba sana sasa nmerudi
Hahahahaa.. hadi macho yanafanyaje eti?
Thank you, Missing you BIG best yangu.
Nkajua haupogo tena... Great!!! Bado tupogo.
Nafurahi kukuona tena
Kunywa novida hapo dukani kwa bwashee!Nina mwaka 1 kwenye ndoa, NAJUTA kwanini sikuoa nikiwa na miaka 25!!Compare to when I was single ... now, I save more = more rich, more stable, more confident, more settled, more independent, more dreamer and happy than never before ...
I love you!
Mwaaaah!
Yani nakuwaje mke kwa mume arrogant kiasi hicho?
Mke akaanze kumfulia mama mke for the rest of her life? Huyo mama hana mabinti?
Ndio kila mtu anampenda mama yake, lakini kama anahitaji starehe kiasi hicho ili amlipe fadhila kwa matunzo, amwekee na maid wake.
Eti mke hajasoma, ana div 4 low, si bora kuoa Nkurumah au mdigirii. Ukishaamua kuishi na mtu, kumchamba hadharani ni kujivunjia heshima mwenyewe. Huwezi ishi na mtu unayemdharau sana, lazima maisha yawe magumu.
Afu sijui kwa nini wanamme wanapenda sana ku-refer elimu za wanawake zao. Akiwa hajasoma utasikia haya, askiwa kasoma utasikia, anajifanya na ile phd yake.
Ila ukioa wa humu jf.. unaweza juta..samahan lakini
the issue is, my wife is not well educated ended in form four with low division. To me this was not an issue to regard,the only point to marry this woman was to have the children caring mother esp.in the aspect of moral and obidience,full time available and to take my part in comforting my mother by washing her clothes,cooking for her in time,to maximize her hospitality to her and the related duties. Unfortunately she has been coliding with her though my mother is still hardly working,i have tried to use even my psychological back ground to calm their disputes but she is stubborn,ignorant of decisions proposed and the worst thing is she despises my mum and other relatives tellin them that one day they will bend before asking for support, while neglecting their efforts invested on me. So many issues to narrate....... HOW CAN YOU NOT CONDEMN YOURSELF FOR MARRYING. MY MUM IS MY ICON OF SUCCESS.
Siungi mkono kugombana na mkwe.....ila tafsiri yako ya kuoa sijaielewa kabisa.......loh, pole kwa mwanamke mwenzangu.
Yanawasha!
Niiiipo best!
Mdogo mdogo ila kuna bibie anaitwa Makomana nambanika kidogo akili zimkae
Amezidi ubaridi kama pua ya mbwa!
Mtoto wa kike hatakiwi kuwa hivyo si unajua!
Bas usistuke sana nikiwa namjibu!we endelea na thread best yetu apate kuona mijiraha ya kuoa!
By ze Wei ulisema yako lini vile?