muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
....Mkuu mbona unanitisha bhana..Mbeya na prevalence ya Ukimwi nje nje
....Mkuu mbona unanitisha bhana..Mbeya na prevalence ya Ukimwi nje nje
Mbona alishaweka wewe ndo haujaona?Pole mama angu. Ningeshauri uedit post uweke na namba ya simu iwe rahisi watu kuiona. Mungu wetu wa mbinguni yuko nawe. Nitajitahidi na mimi nikushike mkono.
Sijaona mkuu. Nimeona katikati ya uzi ndo kaweka.Mbona alishaweka wewe ndo haujaona?
Kwani Dar to Mbeya nauli bei gani?Sijaona mkuu. Nimeona katikati ya uzi ndo kaweka.
Huwa nafurahi ke kumsaidia ke mwenzakePole mama angu. Ningeshauri uedit post uweke na namba ya simu iwe rahisi watu kuiona. Mungu wetu wa mbinguni yuko nawe. Nitajitahidi na mimi nikushike mkono.
Hili ndilo tatizo la kutokuelewa aiseeeeee.....Kwani kwa muda wote huo huna mtu unaembatana naye katika mahusiano?yeye naye anasemaje,katoa ruhusa uende au unataka utoke kiaina ili ukamuuguze huyo ex wako,maana atakuwa anajua in and out ya uhusiano wako na huyo mtu kabla yake yeye...
Asanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;
Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.
Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;
Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.
Asanteni sana!
Pole sana member mwenzetu, ingependeza kama ungeweka contact yako ili tuungane nawe katika magumu yaliyokupata,.
Naunga mkono hoja....Kwa sasa kinachohitajika ni kumsaidia, maneno mengine ni masimango flani ivi
Tatizo humu tunachangia meza moja na watoto wetu, na bahati mbaya tunawaita kwa "mkuu" heshimaHatimaye nmekufahamu huko fb, shikamoo mama na kuanzia leo naacha masihara ya ajabu humu. Nitajitahidi kutuma nitakachoweza.
Kwani amesema anahitaji ushauri...Pole sana mamndenyi. Hawa watoto na mke wake mwingine wangali hai bado? Ili tukushauri zaidi View attachment 696016


Acha uswahili mkuu....Hapana mimi niko na hela kwenye airtel money sina sehemu nyingine kwasasa maana naamini kutunza humo kuliko nmb nnayochukulia mshahara.
Mara nyingi nazitoa zote bank na kuziweka huko nenda basi kwa wakala hata sasa hivi.
Au weka namba ya uhakika airtel.
Mara ya mwisho kwenda Mbeya ilikua 45000. Sina hakika kama imeongezeka au imeshuka.Kwani Dar to Mbeya nauli bei gani?