Badirika, be a christian not a religious
Teh..watagoma kuzika mpaka lini kama mwenza kakataa kwenda? Hao watakuwa si wakristu bali wakristu jina!Ni kweli ana roho nzuri. Ila kama ni mkristo, sio tu ugonjwa, hata mwenza anapofariki hawaziki had mke/mume awepo. Hata kama mlitengana kitambo
Ushimen uko wapi?I am a christian, Na ninajitahidi sana kubadilika. Kwa suala hilo itategemea na vitu vingi. Unitelekeze ule ujana peke yako, uzeeni uugue hlf utegemee nikuuguze. Mungu anisaidie yasinitokee!
Roho hii [emoji15]I am a christian, Na ninajitahidi sana kubadilika. Kwa suala hilo itategemea na vitu vingi. Unitelekeze ule ujana peke yako, uzeeni uugue hlf utegemee nikuuguze. Mungu anisaidie yasinitokee!
Ha haaa uchochezi huo. Mimi nitachangia kufanya maombi.Ushimen uko wapi?
Kuna mtu huku hataki kuchangia.
Hakusema anataka maombi kanisani anakujua.Ha haaa uchochezi huo. Mimi nitachangia kufanya maombi.
Usipokunywa yale matapu tapu yako unakua na akili sana weweBe positive itakusaidia sana kama hauwezi basi ukiona jambo linakukereketa unakaa kimya.
Tulioguswa acha tuchange tukiibiwa ni za kwetu na siku ukiwa na shida andika tukiguswa tutatoa pasipo hata kuchunguza Id yako. Uwe na wakati mwema.
Kesho ndo leo bossmamaa namba yako nimechukua nitakutumia chochote kesho kikusaidia katika safari yako
Nipo hovyo mkuu, ningemchangia. Mi naomba unitolee mchango!Hakusema anataka maombi kanisani anakujua.
Hao wanaokeji ni watoto wapuuzie tu Mamie... Tuko pamojaJamani wana jamii, wengi ni watoto wangu, wengine ni wahenga wenzangu;
Hivi hao wanaonitukana huko juu hawamwogopi Mungu?
Laiti mngejuwa kuwa ni maisha gani nimeisha tokea huyo baba yenu
tutengane wala msingeenda huko;
Nashukuru kwa michango; pia kuna kijana wangu amesema atanipa tiketi so
niwasiliane naye kesho jumamosi.
Mungu akipenda nitaondoka dar jumapili kwenda huko mbeya
kumwona huyo mgonjwa; na nitakuwa nawajulisha hatua kwa hatua kuhusu hiyo safari.
Kweli nawashukuru sana, watu wa MUNGU mlioguswa hata mkaingiza mikono yenu mfukoni
na kumega mkate wa familia yenu kunipa. Naamini kuna siku Mungu atawakumbusha michango
yenu mliyonitolea;
ADELINE SIAME nimejaribu kukutumia chochote mtambo ukasema NOT ALLOWEDAsanteni kwa wote mlioguswa na ujumbe wangu huu;
Mungu awabariki tu jamani;
Kuna aliyeuliza kama nilishaingia mahusiano mengine, jibu ni hapana;
nilikuwa na changamoto kubwa ya kusomesha sikuweza tena kuanza mahusiano.
Yupo pia alieuliza why nimekosa nauli, hapa siwezi kusema sana ila kweli
hela ingekuwepo wala nisingekuja huku;
Naomba niweke tu namba yangu kwa ajili
ya hao wapendwa waliouliza huko juu 0755 557094.
Asanteni sana!
Sasa kama amewaomba hao uliowataja na hakupata ulitaka akajiuze ili apate hiyo hela? haya maisha tu ipo siku utaelewa kwanini watu huwa wanaomba msaada!Mkuu Kayaman
Unakosea.
Kwanza ni haki yao kutoa mawazo yao kama wewe ulivyotoa hapa.Aidha kupinga au kukubali.Usi-criminilize mtu kwa kua tofauti na wewe.
Huyu dada Mamdenyi angewafata wote anaojuana nao wangemsaidia.Ndio tunavyofanya wote humu duniani!Sio kuweka pakuli kwenye public namna hii ambapo tupo wengine huku wenye haki ya kuongea chochote!
Wote tunapata vipato hivi hivi anavyopata Mamdenyi na wewe na wengine.Tuna shida the same.Tatizo ni upayukaji.
Watu aina ya Mamdenyi wapo kwenye jamii,tunakaa nao..wanapenda shida zao wapayukie jamii ibebe kumsaidia.Wapo sana tu,mimi binafsi I can not lie,I hate them to the guts!
Salaam sana wana MMU wote;
Nimekuja kwenu rasmi kuleta taarifa hii ya kuuguliwa na bwana ambaye nimezaa naye watoto wangu wote wanne.
Kweli tulifikia mahali kimaisha tukatengana tokea 2001. Kila mmoja akiwa na maisha yake huku nikiwa na changamoto kubwa na kali za kulea watoto ambao ilibidi nibaki nao, hayo kwa sasa tuyaweke pembeni.
Hadi ninavyoandika huu uzi hakuna mtoto hata mmoja ambaye ameshapata kibarua wote wapo kwenye kuhangaika kutafuta kazi.
Ilipofikia mwaka jana mwishoni nikapata taarifa ya kuwa yule bwana niliezaa naye anaumwa, nikajuwa ni homa za kawaida tu.
Leo kaka yake ndo ananipigia simu na kusema kuwa mdogo wake amezidiwa sana na alikuwa amezimia ila kazinduka tena juzi.
Kwangu hiki kitu ni kikubwa nimeshindwa kukibeba.
Kwenu wana jamii kwa upendo wenu ninaomba mnichangie nauli ili niweze kwenda huko Mbeya kumwona huyo mgonjwa. Kama mnavyojua mahali penye ugonjwa mkubwa pia panahitajika hela ya matumizi mengineyo.
Kwa wana jamii wa Mbeya mnaweza kwenda kumuuona nyumbani ni Sae.
Naomba tu msinitukane maana nitalia;
Kwa hiyo mamy unanitukana kwa namna nyingine kwamba huwa sinaga akili...! Kai kaiUsipokunywa yale matapu tapu yako unakua na akili sana wewe