Ninauguliwa na baba watoto wangu

Status
Not open for further replies.
Naongea hivi kwa kuwa JF kuna wahanga walishajaribu kusaidia lakini mwisho wake kumbe muomba msaada alikuwa anazuga tu..
Kwa hiyo utaulizwa maswali mengi ili watu waweze kuthibitisha hoja yako bila kuwa na wasi wasi wowote.
Ili kuweza angalia credibility ya story zake inabidi ujue historia yake!..Dada aliwahi leta stori ya msaada wa ada mtoto ake amalize chuo kama sikosei!..Anapitia mengi lakini ana moyo mkubwa pia!
 
Pole sana Mamndenyi kwa mtihani huu.....binafsi sichangii mtu pesa haswa mwanamke, mimi najitolea nafsi yangu tu kukukumbatia na kukupapasa ili nikufariji. Kama uko tayari niambie tukutane wapi, na huyo ex wako simpi pole kwani mlisha achana tayari.
Kwani kwenye Post yake kuna sehemu ameandika anataka kukumbatiwa na kupapaswa?
 
Umeanza lini kumjua mleta mada au kupitia post hii!?...mbona huwa hamjaribu kufanya background cheki vitoto vya siku hizi!?..
 
Mm sina hela lakni nikisema pole ni zaidi ya pesa makaratasi. Ngoja wachange nami nitakuchangia nauri ya kurudi. Pia nko mbeya nambie sehemu gan mgonjwa yupo maana matapel nao wapo kila kona
 
Ni kweli, wachungaji wengi ni wana saikolojia wazuri sana, muda mwingine huwaponya watu kwa kutumia saikolojia.
 
Mm sina hela lakni nikisema pole ni zaidi ya pesa makaratasi. Ngoja wachange nami nitakuchangia nauri ya kurudi. Pia nko mbeya nambie sehemu gan mgonjwa yupo maana matapel nao wapo kila kona
ameandika mahali karibia na kwa sugu.itapendeza ukaenda ili Tomaso wa waamini.uyu mama nimegundua asilimia mia hadanganyi na nimechungulia mahali ni kama mama yangu kabisa.shikamoo kwake .duh kwel tunaweza chukuliana poa uku Jf wengine kiumri wametuacha mbali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…