Ninataka nikajaribu hustling Dodoma wakuu

RSM Dominik

Senior Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
193
Reaction score
454
Ndio hivyo wazee kutokana na umri wangu wa miaka thelathini(30) kunigongea nikiwa sina mfumo mzuri(sijafanikiwa kupata kazi rasmi ya uhakika iwe kuajiriwa/kujiajiri,sjafanikiwa kuoa, nimeamua nijilipue niende DOM.

Nimefanikiwa kuishi Mbeya, Sumbawanga, Katavi, Mafinga-Iringa, yaani huku nyanda za juu kusini ambako ndio kwetu nimepambana kama miaka 7 sasa tangu nigraduate ila ni mwendo wa pesa ya kula na pengine ndiyo yale ya nabii na kwao.

Kama ni CHUNYA huko machimboni nako mambo sio poa siku hizi tu tofauti na zamani, machimboni wanafaidi wale wadosi wenye mashimo au makarasha yao,mchimbaji na mtumia nguvu kitengo chochote sometimes unaishia kula ugali maharage dagaa wa bure huku ukipigwa na jua tu,

Nimechagua DOm na sio ARUSHA au DSM kwa kuwa nimefanya utafiti mdogo kwamba hiyo miji ilikuaga ina fursa zamani, sio leo, na nna ndugu kibao wapo huko miaka na miaka sometime mimi niliepo mkoani huwa nawasevu wanapotingwa, hiyo miji maisha magumu sana siku hizi ila DOm ndio mji unaochipukia japo sijawahi kuishi nna imani life lake kidogo ntatoboa tofauti na dsm au A-town.

AU mnasemaje wazee, wale mliopo DODOMA mje mnishauri basi kijana wenu. Nije Dom pengine ntaotea hata mrangi wa kujenga nae maisha, huku kusini nimepambana a lot.huko ntaanzisha kabizness kokote nione upepo

FB_IMG_17840590307552102.jpg
 
Dodoma ni mji unaokuwa kwa Kasi, kwahiyo mzunguko wa pesa ni mkubwa pia

Changamoto ya Dodoma ni gharama za maisha kwa beginners

Kule chumba self kinaanzia 80,000 hadi 120,000 hapo

Wakati kiasi hicho, huko Mbeya kwenu unapata chumba na sebule self

Isingekuwa namba moja kulegea masharti kama enzi za JPM, Dodoma ingekuwa mbali sana kiuchumi
 
Manchester united itakuuwa dogo
 
Dodoma mzunguko wa pesa upo, hilo linapelekea maisha kuwa ghali
Hivyo kwa watafutaji beginners inakua disadvantage ila ukikomaa unatoboa

Unajipanga kufanya shughuli gani/ biashara?
Una pesa ya kuanzia kiasi gani?
Unafikia kwa ndugu au unakuja kuanza moja?
 
Duh kwahiyo
Dodoma ni mji unaokuwa kwa Kasi, kwahiyo mzunguko wa pesa ni mkubwa pia

Changamoto ya Dodoma ni gharama za maisha kwa beginners

Kule chumba self kinaanzia 80,000 hadi 120,000 hapo

Wakati kiasi hicho, huko Mbeya kwenu unapata chumba na sebule self

Isingekuwa namba moja kulegea masharti kama enzi za JPM, Dodoma ingekuwa mbali sana kiuchumi
Duh kwahiyo vyumba vya 30 single havipatikan kitaani hata kwa kufoc ilimrad chumba mkuu?
 
Kama unaanza kupambania maisha, nakushauri ungerudi Mbeya pana fursa nyingi na kama upo serious utawapiga bao vijana wa Mbeya sababu wengi ni wavivu na wakipata kipesa kaduchu wanakimbilia kulewa.
Dom panakua kwa kasi lakini garama za maisha ni ghali sana.
 
Zingatia haya kabla ujaenda Domland

uwe na fani yoyote kama ufundi nk
uwe na mtaji wa kutosha kama unaenda kufanya biashara
uwe na ndugu au mwenyeji ambaye utakaa kwake hadi upate chumba chako

elewa kwamba
dodoma inabamba sana kipindi cha bunge na kipindi cha mavuno

dodoma ina mchanganyiko mkubwa wa watu hivyo matukio ya uhalifu yapo sn

kuoa mrangi sikushauri ni wanafiki sana na wanaroho ngumu hao wanaoana wenyewe kwa wenyewe
 
Dodoma ni mji unaokuwa kwa Kasi, kwahiyo mzunguko wa pesa ni mkubwa pia

Changamoto ya Dodoma ni gharama za maisha kwa beginners

Kule chumba self kinaanzia 80,000 hadi 120,000 hapo

Wakati kiasi hicho, huko Mbeya kwenu unapata chumba na sebule self

Isingekuwa namba moja kulegea masharti kama enzi za JPM, Dodoma ingekuwa mbali sana kiuchumi
Mkuu kwahiyo vyumba vya kuforce hata kwa 30 single hamna
 
Back
Top Bottom