dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,807
- 61,668
Wewe umeona tangazo mkuu?๐๐๐
Khakhakhaaaa!!Unatupa ujumbe gani mmama...tukupe pesa?
Nazitafuta..Sa si utafute mbona zipo tu
Sikatai๐
Mpe kidogo tuSikatai๐
Apewe nini wakati ni yeye anaetaka kunipa?Mpe kidogo tu
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNipe huo mfano wa mwisho kwanza halafu utaona mchanganuo wake๐๐๐
Haiombwi hivyo
๐[emoji848]
Yani umemaliza kila kitu๐๐๐KOSA PESA alafu ukose na mitiiii yani unaweza piga watoto ukauaa
Katika kupenda pesa usimsahau na Mungu[emoji53]
Mungu kwanza... mengine hufuata..Katika kupenda pesa usimsahau na Mungu
Sawa kabisaMungu kwanza... mengine hufuata..