Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates.
Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia deep zaidi ?
Mission za black money kutajirika kwa pigo moja mpaka kunusurika kwenye tundu la sindano na mikasa ya kuwawinda walioniunganisha kula nao sahani moja.
Kubambikiziwa kesi baada ya kuingia kwenye 18 za wazito na kukimbia napoishi mwaka mzima wilaya baada ya wilaya kama digidigi mpaka ilipobainika nimebambikiwa
Penzi la mtoto wa kigogo lilivyofanya ninusurike kupigwa risasi ya mguuni.