Tai ana maana gani katika ulimwengu wa Roho Mshana Jr. vita, ubabe au?[emoji3] [emoji3] [emoji3] rudi kwa njiwa ni mjumbe wa amani na alama ya upendo na hekima
Maana ya Africa ni pango[emoji125]Bora tubadili kabisa jina la bara hili.
Yaani nikiangalia Twiga halafu nikaangalia nembo za wanyama wengine kwenye makampuni ya wenzetu mmmh
Puma, Jaguar, kwenye Ferrari, hahaha nacheka kama mazuri hata KIWI bado ipo
Hahaha I didn't know thatMaana ya Africa ni pango[emoji125]
Kiona mbali nguvu ukali kasi na uvumilivuTai ana maana gani katika ulimwengu wa Roho Mshana Jr. vita, ubabe au?
[emoji4] inafaa kwenye biashara???Kiona mbali nguvu ukali kasi na uvumilivu
Ngoja nianzishe ya kushindana na Bombay dearAnafaa sana
[emoji115] [emoji115] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji106] [emoji25] [emoji102] [emoji87]Yaani hili jambo ni kubwa sana\
Sema kama kawaida yetu
tunajitoa ufahamu........
na hata kuwa na nchi yenye herufu inayoanza ya T
tungeita nchi yetu Azania.....ingekuwa mbali zaidi ..ila hatutaki kukubali
Kabla ya kuwaza mnyama wa kutumia tujenge misingi mingine Kwanza! Jina litakuja mwishoniUngalipendekeza tumtumie mnyama gani sasa ktk maono yako binafsi......???..kama ulimuwaza twiga...kwa uvivu wake......sambamba na mifano uliyoitoa.....tuambie mbadala wake kwa binafsi yako.....