Nina tatizo kidogo na mnyama twiga

Nina tatizo kidogo na mnyama twiga

Blue
You can use blue to promote products services related to cleanliness (water purification filters,cleaning liquids) air and sky (airlines,airports,air conditioners,water and sea (sea voyages, mineral water)
Blue
Avoid using blue when promoting food and cooking,because blue suppresses appetite

✍
Blue
When blue used together with warm colors like yellow or led, blue can created high impact, vibrant design:
Ex;
Blue------yellow_red is a perfect color scheme for a super hero.

Mkuu jaribu kusearch maana na tabia za wanyama hao. Pia maana ya rangi katika biashara. Wenzetu abroad wanaeleqa sana maana ya rangi katika biashara so unaweza kupaka rangi flani akija mtu toka abroad hata hawezi kukaribia katika biashara yako.

NIMEKUPA HINTS KIDOGO JUU YA RANGI
Thank very much charming
 
Hii ni kweli kabisa.... Kuna watumishi huwa wanaliongelea sana hili. Kuhusu nembo, unajua nembo ina nguvu sana katika ulimwengu wa Roho, ndio maana hata Secret Sociaties zinatumia sana nembo kusambaza issue zao.

Hebu angalia hawa wanyama/ndege na tabia zao na nchi zinazoitumia utagundua kuwa zinashahabiiana.

Kwa Mataifa, Mfano Wamarekani - Tai (Eagle), Kenya - Simba (Lion), Uganda - Korongo (Crane), Rwanda ni hyena (fisi) na Chameleon (kinyonga).

Fatilia hata Badges za mataifa mbalimbali sio urembo kuna maana.

KUNA NGUVU KATIKA NEMBO/ALAMA.

kwenye ulimwengu wa Roho hata majina ya eneo,nchi,bara, pia wanyama yana nguvu sana!!!..........

hata rangi....... na hii ni pande zote, ulimwengu wa NURU na ule wa giza!!!
 
images


images


mshana jr nafikiri USA wanalitambua hilo, Eagle ndio inawawakilisha....avatar yangu haiko bahati mbaya.
 
Wamemchagua tai kwa lengo maalum hasa kwa hulka tabia na mwenendo wake
Na wewe umechagua avatar yake mmh!

Lakini wewe ndio ulikua muasisi mkuu, kuna siku ulinitunuku avatar ya njiwa, alidumu sana ndio nikahamia kwa Eagle japo njiwa namkubali zaidi hasa kwa imani yangu nikirejea mistari ya Biblia.
 
Lakini wewe ndio ulikua muasisi mkuu, kuna siku ulinitunuku avatar ya njiwa, alidumu sana ndio nikahamia kwa Eagle japo njiwa namkubali zaidi hasa kwa imani yangu nikirejea mistari ya Biblia.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] rudi kwa njiwa ni mjumbe wa amani na alama ya upendo na hekima
 
View attachment 431909

Alama ni kitu muhimu kwenye jambo lolote hasa kwa upande wa mafanikio na ustawi wa kitu, hii hujumuisha hata rangi, wanyama na alama nyinginezo. Kuna baadhi ya nchi kutokana na imani zao kali kwenye mambo ya giza hawaanzishi kitu bila kuwaona wataalam ili wawashauri alama na rangi za kutumia.

Twiga ni mnyama wa kuvutia sana, mvuto wake ukinogeshwa na urefu wake na rangi zake, ni mnyama mpole mkimya na mstaarabu sana lakini pia mvivu labda kutokana na umbile lake.

Najaribu kutengeneza roho ya mafanikio kwa kutumia nembo ya mnyama twiga naona kiza, kwa hulka za twiga ni vigumu sana kustawi kibiashara ukimtumia( wale wakosoaji wangu wanivumilie huu ni mtazamo binafsi).

Tulikuwa na shirika letu la ndege, kwa heshima ya maliasili zetu tukaamua kutumia nembo ya twiga kama utambulisho! Shirika hili halijawahi kusimama na kustawi kabisa. Limeendelea kusuasua huku likifa na kufufuka.

Tuna bank ya Twiga Bancorp(wanatumia jina na nembo ya twiga) pamoja na kuanzishwa kwa mbwembwe na kunia mafanikio lakini hivi karibuni imetangazwa mufilisi. Tunaambiwa iko vizuri tatizo ni mtaji!!!!mmh ngumu hii.

Pamoja na kwamba ustawi wa biashara hutegemea mengi lakini nembo na rangi vina umuhimu mkubwa kwenye ulimwengu usioonekana. Naiombea Twiga Bankorp bank na shirika letu la ndege lenye ndege mpya mbili (bombardier) viweze kusimama kustawi na kusonga mbele.
Twiga ana mkosi ndo maana hatuendelei. napendekeza Fisi
 
Twiga ana mkosi ndo maana hatuendelei. napendekeza Fisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bora tubadili kabisa jina la bara hili.
Yaani nikiangalia Twiga halafu nikaangalia nembo za wanyama wengine kwenye makampuni ya wenzetu mmmh
Puma, Jaguar, kwenye Ferrari, hahaha nacheka kama mazuri hata KIWI bado ipo
 
Meri
Tumifano twako tuko loko sana kuthibitisha ukakasi wako juu ya mnyama twiga, kuboronga kwa Tz katika hizo sekta ulizozitaja bado haiwi sababu za ujumla za kumkosesha credit kiumbe huyu.
I love Twiga [emoji8]
Meridian biao bank, ilikufa kabla ya kuanza, je, ilikuwa na logo ya twiga, vipi twiga cement?
 
Back
Top Bottom