Nina tatizo kidogo na mnyama twiga

Nina tatizo kidogo na mnyama twiga

Mbona twiga cement inachana mawimbi ipasavyo.......nadhani ule utafiti kuwa waafrika wana 98% positive belief kuwa ushirikina na mazingaombwe ni sehemu ya maisha yao now naamini.........sasa image ina uhusiano ganina maswala ya management ya kampuni
 
kunapesa nayo ilikuwaga na mnyama twiga..!!😵😵😵
Ni note ya shilingi ngapi tuithaminishe?
1478758918091.jpg
aah kumbe hii
 
Mbona twiga cement inachana mawimbi ipasavyo.......nadhani ule utafiti kuwa waafrika wana 98% positive belief kuwa ushirikina na mazingaombwe ni sehemu ya maisha yao now naamini.........sasa image ina uhusiano ganina maswala ya management ya kampuni
Umenisoma vizuri lakini? Hebu pitia kidogo nilichoongea kuhudu Twiga cement
 
Niliwahi kubandika picha za twiga dukani kwangu nilipewa na kampuni fulani ya sigara loooh!! Sina hamu nayo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13]
 
Lakini kampuni zenye majina ya wanyama jasiri bado zinafanya vizuri kama Puma oil, Simba Logistics, Simba oil, na Rhino cement....
Pamoja na management nzuri
Pamoja na mtaji wa kutosha
Pamoja na miundombinu ya uhakika, elimu ya wafanyakazi na hata ubora wa huduma bidhaa na matangazo lakini spirit ya logo ya mnyama huchangia ustawi pia
 
Hii ni kweli kabisa.... Kuna watumishi huwa wanaliongelea sana hili. Kuhusu nembo, unajua nembo ina nguvu sana katika ulimwengu wa Roho, ndio maana hata Secret Sociaties zinatumia sana nembo kusambaza issue zao.

Hebu angalia hawa wanyama/ndege na tabia zao na nchi zinazoitumia utagundua kuwa zinashahabiiana.

Kwa Mataifa, Mfano Wamarekani - Tai (Eagle), Kenya - Simba (Lion), Uganda - Korongo (Crane), Rwanda ni hyena (fisi) na Chameleon (kinyonga).

Fatilia hata Badges za mataifa mbalimbali sio urembo kuna maana.

KUNA NGUVU KATIKA NEMBO/ALAMA.
 
Na vipi kuhusu Tembo na Wolf katika biashara utumie logo hizo labda Tembo oil au Wolf Oil nataka niingie uko pia sijajua rangi nzuri ya kupaka majengo ya biashara ni ipi
Kuna kitabu kinaitwa green traveller kuna siri kubwa kwenye rangi ya kijani kwakuwa inahusika na uhai na ustawi lakini hili ni angalizo tu rangi na maana zake huendana na tamaduni
 
Na vipi kuhusu Tembo na Wolf katika biashara utumie logo hizo labda Tembo oil au Wolf Oil nataka niingie uko pia sijajua rangi nzuri ya kupaka majengo ya biashara ni ipi

Blue
You can use blue to promote products services related to cleanliness (water purification filters,cleaning liquids) air and sky (airlines,airports,air conditioners,water and sea (sea voyages, mineral water)
Blue
Avoid using blue when promoting food and cooking,because blue suppresses appetite

✍
Blue
When blue used together with warm colors like yellow or led, blue can created high impact, vibrant design:
Ex;
Blue------yellow_red is a perfect color scheme for a super hero.

Mkuu jaribu kusearch maana na tabia za wanyama hao. Pia maana ya rangi katika biashara. Wenzetu abroad wanaeleqa sana maana ya rangi katika biashara so unaweza kupaka rangi flani akija mtu toka abroad hata hawezi kukaribia katika biashara yako.

NIMEKUPA HINTS KIDOGO JUU YA RANGI
 
Hii ni kweli kabisa.... Kuna watumishi huwa wanaliongelea sana hili. Kuhusu nembo, unajua nembo ina nguvu sana katika ulimwengu wa Roho, ndio maana hata Secret Sociaties zinatumia sana nembo kusambaza issue zao.

Hebu angalia hawa wanyama/ndege na tabia zao na nchi zinazoitumia utagundua kuwa zinashahabiiana.

Kwa Mataifa, Mfano Wamarekani - Tai (Eagle), Kenya - Simba (Lion), Uganda - Korongo (Crane), Rwanda ni hyena (fisi) na Chameleon (kinyonga).

Fatilia hata Badges za mataifa mbalimbali sio urembo kuna maana.

KUNA NGUVU KATIKA NEMBO/ALAMA.
-Spirit ya twiga ni mwendo wa taratibu mpaka akutane na dhahama kubwa ndio akimbie, ana roho ya uvivu
-spirit ya twiga sio kupambana, biashara inahitaji mapambano hasa kuweza kushamiri hana roho ya changamoto
-spirit ya twiga akishiba hajihangaishi kutafuta tena mpaka njaa iume tena roho ya kuridhika haraka, biashara inasema don't stop till you get enough
Kuna mengi yanahusiana na haya
 
Ha ha ha hii mitazamo hii!!! uzalendo,uwajibikaji,welevu,umahiri,hekima na busara ndizo nyenzo za maendeleo
 
Back
Top Bottom