Meridian biao bank ni bank kubwa saba Gambia inayofanya vizuri hapa haikufa bali iliamua kujiondoa kuwekeza Tanzania kwa gia ya kufilisika kuna kitu kilifanyika ila si vema kufukua makaburi yote [emoji23]Meri
Meridian biao bank, ilikufa kabla ya kuanza, je, ilikuwa na logo ya twiga, vipi twiga cement?
Sure![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Tumifano twako tuko loko sana kuthibitisha ukakasi wako juu ya mnyama twiga, kuboronga kwa Tz katika hizo sekta ulizozitaja bado haiwi sababu za ujumla za kumkosesha credit kiumbe huyu.
I love Twiga [emoji8]
Nimesema kwa uwazi kabisa hebu nisome tena kuwa ustawi wa biashara unategemea mambo mengi ishu ya nembo au rangi ni jambo lisiloonekana kwa macho ni jambo la kiroho zaidi na hapa ndio tunatofautiana na wengikaka lakini twiga cement inafanya vzr unazungumziaje kuhusu ilo
ok sawa mkuu nimekuelewa, unalozungumzia lina uhalisia kiukweli sio kidogo nakubaliana na wewe, swali langu kwako una ushauri gani kuhusiana na nembo za kibiashara ni nembo ipi inayoweza akisi mafanikio katika nembo za wanyamaNimesema kwa uwazi kabisa hebu nisome tena kuwa ustawi wa biashara unategemea mambo mengi ishu ya nembo au rangi ni jambo lisiloonekana kwa macho ni jambo la kiroho zaidi na hapa ndio tunatofautiana na wengi
Kuna wataalam makala na machapisho mengi tu kwenye hilo japo kwa Tanzania tatizo ni zaidi ya nembo na rangiok sawa mkuu nimekuelewa, unalozungumzia lina uhalisia kiukweli sio kidogo nakubaliana na wewe, swali langu kwako una ushauri gani kuhusiana na nembo za kibiashara ni nembo ipi inayoweza akisi mafanikio katika nembo za wanyama
What?[emoji87] [emoji15]Niliwahi kubandika picha za twiga dukani kwangu nilipewa na kampuni fulani ya sigara loooh!! Sina hamu nayo.
Simba cement[emoji12]Lakini kampuni zenye majina ya wanyama jasiri bado zinafanya vizuri kama Puma oil, Simba Logistics, Simba oil, na Rhino cement....
Twiga stars iko poa sana,sema huwa inakosa maandaliz mazuri tuNa twiga stars nayo
Mkuu kama kama kampuni ina wezi na mafisadi hata uweke nembo gani itakufa tuView attachment 431909
Alama ni kitu muhimu kwenye jambo lolote hasa kwa upande wa mafanikio na ustawi wa kitu, hii hujumuisha hata rangi, wanyama na alama nyinginezo. Kuna baadhi ya nchi kutokana na imani zao kali kwenye mambo ya giza hawaanzishi kitu bila kuwaona wataalam ili wawashauri alama na rangi za kutumia.
Twiga ni mnyama wa kuvutia sana, mvuto wake ukinogeshwa na urefu wake na rangi zake, ni mnyama mpole mkimya na mstaarabu sana lakini pia mvivu labda kutokana na umbile lake.
Najaribu kutengeneza roho ya mafanikio kwa kutumia nembo ya mnyama twiga naona kiza, kwa hulka za twiga ni vigumu sana kustawi kibiashara ukimtumia( wale wakosoaji wangu wanivumilie huu ni mtazamo binafsi).
Tulikuwa na shirika letu la ndege, kwa heshima ya maliasili zetu tukaamua kutumia nembo ya twiga kama utambulisho! Shirika hili halijawahi kusimama na kustawi kabisa. Limeendelea kusuasua huku likifa na kufufuka.
Tuna bank ya Twiga Bancorp(wanatumia jina na nembo ya twiga) pamoja na kuanzishwa kwa mbwembwe na kunia mafanikio lakini hivi karibuni imetangazwa mufilisi. Tunaambiwa iko vizuri tatizo ni mtaji!!!!mmh ngumu hii.
Pamoja na kwamba ustawi wa biashara hutegemea mengi lakini nembo na rangi vina umuhimu mkubwa kwenye ulimwengu usioonekana. Naiombea Twiga Bankorp bank na shirika letu la ndege lenye ndege mpya mbili (bombardier) viweze kusimama kustawi na kusonga mbele.
Hahahahaaaa...waarabu wa pemba...[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana yule tapeli anayeelekea tamati