Nina tatizo kidogo na mnyama twiga

Nina tatizo kidogo na mnyama twiga

NBC bank nayo yale yale mnyama twigs.
IMG_20180430_121637_757.JPG
 
Umejaribu kuangalia nchi nyingine zilizofanikiwa ukaangalia zinatumia wanyama gani?? Refer nchi kama Australia, mnyama Kangaroo ana tofauti gani kubwa na huyo Twiga??
Je kwenye benki zilizofilisika zaidi ya Twiga Bancorp hakuna nyingine???
Panua mawazo kdg!!
NBC bank ina hali gani mkuu?
 
Lakini pia naomba jiulize inahitajika simba wangapi ili kumuua twiga mmoja????
 
sio hivo mshana ndugu,huyo alimaanisha utupanuwe mawazo hakumaanisha wewe ndo upanue mawazo mukuu
Asante kama nimemuelewa tofauti nachukua nafasi hii toka rohoni kumuomba RADHI
 
Twiga wananiachaga hoi tu wanapogombana, wanachapana shingo....yaani anaizungusha shingo kama kombepo halafu anamchap mwenzie shingoni, kama ni afya mgogoro shingo inakatika.
 
Twiga wananiachaga hoi tu wanapogombana, wanachapana shingo....yaani anaizungusha shingo kama kombepo halafu anamchap mwenzie shingoni, kama ni afya mgogoro shingo inakatika.
Hiyo cha mtoto ushawahi kuwaona wakifanya ma2C?
 
Back
Top Bottom