Nina tatizo kidogo na mnyama twiga

Nina tatizo kidogo na mnyama twiga

Ungalipendekeza tumtumie mnyama gani sasa ktk maono yako binafsi......???..kama ulimuwaza twiga...kwa uvivu wake......sambamba na mifano uliyoitoa.....tuambie mbadala wake kwa binafsi yako.....
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Kabla ya kuwaza mnyama wa kutumia tujenge misingi mingine Kwanza! Jina litakuja mwishoni
 
Takwimu za kuvutia na zilizovunja rekodi ya dunia..... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
downloadfile-1.jpg
 
Mnyama twiga, hata mm huwa najiuliza sna kwann wenzetu wanatumia hawa wanayama wakali eg jaguar
 
Hata tukitumia farasi sie ni waafrika tu, tumeweka siasa mbele maendeleo nyuma
 
Umejaribu kuangalia nchi nyingine zilizofanikiwa ukaangalia zinatumia wanyama gani?? Refer nchi kama Australia, mnyama Kangaroo ana tofauti gani kubwa na huyo Twiga??
Je kwenye benki zilizofilisika zaidi ya Twiga Bancorp hakuna nyingine???
Panua mawazo kdg!!
 
Panua ya kwako sio yangu its totally insane kumfananisha Kangaroo na twiga, kwa nguvu speep na namna ya kutembea nknk
Kufilisika kwa kitu kuna factor nyingi... Hii mada nimeandikia to those who are meant to be great thinkers.. Ikikuchanganya just know that you are not among them
 
Umejibu haki kabisa, Lakini ni mpole sana. Anaweza kuivusha idara na nchi kwa' ujumla? Kumbuka CIA alama yake ni Tai. Tai hawezi mkamata Hua (Njiwa)?
Hizi ni nchi mbili tofauti kabisa Kumbuka
 
Ukitaka maendeleo temana na rangi hizi tatu kijani na blue yaan utakuwa fukara wa mali ila unajua kabisa ninj cha kufanya ili uendelee. Rangi nyeusi inajaza hofu na woga wa kujaribu ndio maana tupo radhi kuwapa wawekezaji hata miradi ambayo serikali inaweza kuifanya. mfano gas na madidi. ukitaka maendeleo tumia rangi hizi Nyekundu na Nyeupe yaani Nyeupe Upendo fura amani
Nyekundu. Ujasiri Ushindani na Hukumu. baba umewini. Twiga hawezi kuwa nembo halafu ukaendelea[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Ndio maana mi Naitwa Kipanga boy
 
Kwa kuongezea mnyama Twiga, hatembei kama wanyama wengine wenye miguu minne .

Yeye miwili ya upande mmoja huenda mbele kwa pamoja, kisha na upande mwingine vivyohivyo.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa kuongezea mnyama Twiga, hatembei kama wanyama wengine wenye miguu minne .

Yeye miwili ya upande mmoja huenda mbele kwa pamoja, kisha na upande mwingine vivyohivyo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kuna mtu kamfananisha na kangaroo
 
Nakubaliana na hili kabisa inaathiri hata wananchi, waTz wanakuwa wastaarabu, wapole, wasiotaka bugdha etc kama twiga mwenyewe ambaye anamuwakilisha mTz kwenye ulimwengu wa roho. Asante Mshana Jr
 
Kweli kabisa buku mbili ina kanembo ka twiga haifanyi vzr sokoni mpka uongezee na tembo
 
Back
Top Bottom