Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,930
- 103,268
🤣🤣🤣 Lazima tupasue nazi njia pandaTulia wewe 🤣🤣🤣
Lazima mheshimiwa apate mke kwa njia yoyote
🤣🤣🤣 Lazima tupasue nazi njia pandaTulia wewe 🤣🤣🤣
Lazima mheshimiwa apate mke kwa njia yoyote
😂😂😂🙌🙌Ungepita jirani yangu 🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatujaolewa!
asa mtu hujaolewa useme una bwana? Kisa cha kukosa mume
Nifanyeje wifi yangu nicheke mie huu mwaka wa kufosi 😂😂😂
Kabeeesa
Ndioo hawezi hana hela🤣🤣🤣 Da mau unajiamini mpk raha, hata diamond hawezi kukumiliki au sio.?
Kwani wewe ni Antonia?Kabeeesa
Aah acha tuWanataka nn Tayana-wog 😆😂
Huyu Mimi nilimuwrka kwenye ignore list.Ndio maana nakwambia lawama zote zielekezwe Kwa serikali ya CCM,ingesaidia upatikanaji wa ajira akili za vijana zingetulia..Una stress za kiwango Kali sana I can read on ur writings.....,Nakushauri punguza mdomo mchafu unafukuza malaika wema wanaobeba riziki,ukute Leo ndio alikuwa anakuletea ajira Sasa ushaharibu.... Anyways pole na changamoto ndio ukubwa
Kwan ukikaa mwenyewe muda haupoteiAah acha tu
Yaani hawataki mambo ya familia wanatakq tupotezeane Muda
Wale de Kwa wadangaji,sikuhizi ht k za buku zipo🤣
🤣🤣🤣 Alooo🤣🤣🤣 Njoo tucheke shogaangu
Mrs Jux mwenyewe
Visa ushapata uende kwa shem bongo utapauka shosti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Alooo
Jf ni zaidi ya unavyoijua
Niko zangu nanjilinji huku ila ndo hivyo jmn🤣🏃🏃
Kukaa mwenyewe bila kufunguliwa ndo vzr,kwanza Kwa Mungu,natunza utakatifu, hata nikiwa naomba yaani sipambani sn na Toba, inakua Toba ya mambo megine tu,halafu mwili wangu pia ni WA thamani ujue,acha niutunze kuliko kuchafuanaKwan ukikaa mwenyewe muda haupotei
Unajua kupata kazi ukiwa na kazi ni rahisi 😁
Aah acha tu
Yaani hawataki mambo ya familia wanatakq tupotezeane Muda
Wale de Kwa wadangaji,sikuhizi ht k za buku zipo🤣
ShooVisa ushapata uende kwa shem bongo utapauka shosti 🤣🤣🤣
Uko sahivi kabisa ,sipingiBinti sayuni mume mwema anapatikana sehemu yoyote. oga, paka mafuta yako mazuri tembea tembea, mume mwema utakutana nae tu hata kwenye mwendokasi. ama hata humu jamiiforums
Anastahili.,.ngoja nimalizane nae nimtie kapuni...Huyu Mimi nilimuwrka kwenye ignore list.
Maana anaongea nonsense