Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,367
- Thread starter
- #21
Ni kweli all true imagination yetu yangu inatuponzaKwa dar hata Tanzania kwa ujumla ni asilimia ngapi ya wanaume wanafanya kazi nzuri za kwenye serikali na makampuni makubwa?
Jibu liko kwenye huu Uzi wako, Mindset kama yako ndo inafanya wadada wengi wabaki hawajaolewa, kwa kusubiria mume mwenye hela nyingi Unique Flower