agricultural
New Member
- Oct 4, 2020
- 3
- 6
Fikiri biashara ya something to do with food - mtu ni lazima ale kila siku... kwa hiyo tafuta eneo zuri anzisha Genge - yaani kiduka kisafii cha mbogamboga na matunda ya kila aina - kisha weka na nafaka kama Mchele, Unga wa ngano, Mahindi nk Mtaji wako wa 2m utatosha - Mil moja kwenye eneo la frem na 1m Mzigo.
Nakuhakikishia kwa siku hukosi faida ya 20,000 hadi 25,000 ambapo kwa mwezi ni Tshs. 600,000 hadi 700,000.
Sina ujuzi huo dear hapo inakuaje?Saluni ya kike na ususi, hasa ususi wa wanawake na watoto was kike
Duuh hapo ni changamoto kidogo, labda niulize una ujuzi gani na unapenda kufanya Jambo gani ukiwa free na upo mkoa na wilaya gani?Sina ujuzi huo dear hapo inakuaje?
Taja location mkuu maana unaweza shauliwa kitu kumbe sehemu ulipo isikuletee tija.Ml.2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka ?mimi ni single mama nnaehitaji kujishugulisha ili niishi vizuri na mwanangu
Huwa unafanyajeMimi huwa nazungusha mil2 inazaa milioni nyingine kwa mwezi
Unazungushia mitaa gani?Mimi huwa nazungusha mil2 inazaa milioni nyingine kwa mwezi
Nakuunga mkono mkuuFikiri biashara ya something to do with food - mtu ni lazima ale kila siku... kwa hiyo tafuta eneo zuri anzisha Genge - yaani kiduka kisafii cha mbogamboga na matunda ya kila aina - kisha weka na nafaka kama Mchele, Unga wa ngano, Mahindi nk Mtaji wako wa 2m utatosha - Mil moja kwenye eneo la frem na 1m Mzigo.
Nakuhakikishia kwa siku hukosi faida ya 20,000 hadi 25,000 ambapo kwa mwezi ni Tshs. 600,000 hadi 700,000.