Nifanye Biashara gani nina mtaji wa Mil. 2, nipo mkoa wa Lindi

assadymadenge

New Member
Jan 15, 2024
1
1
Habari za muda huu wadau. Mie nimuajiriwa wa sector X. Kipato napata cha kawaida. Nina mtaji hapa wa milioni mbili. Nipo mkoa wa lindi nianze Biashara gani iniingizie Atleast pesa ya mboga.?
 
Angalia maeneo yanayokuzunguka ninini kinaosekana ukipata kiweke kwa ustadi na ukikifanya kifanye kama wewe ni mteja na si kama mfanyabiashara.
Najua utajiuliza vipi kama mteja ukiwa unabiashara ukiifanya kama mteja utampa mteja huduma bora na anachokipenda. Utajua kwa kuwa na wewe unajiona kama yeye ungehitaji nini kama ungekuwa ni wewe umekuja kujumua, ila ukifanya kama mfanya biashara utajali pesa ila ubora wa huduma hutozingatia kitu kitachofanya biashara kufa mapema.
 
Hakuna biashara inayo lipa au isiolipa. Hakikisha una muda au mechanism ya kusimamia biashara yako na anzia unapo weza kwa kinacho wezekana huku ukijifunza kadri unavyo endelea
 
Habari za muda huu wadau. Mie nimuajiriwa wa sector X. Kipato napata cha kawaida. Nina mtaji hapa wa milioni mbili. Nipo mkoa wa lindi nianze Biashara gani iniingizie Atleast pesa ya mboga.?
Toa laki kwanza ukajipongeze huku unatafakari ufanye nini.
 
Back
Top Bottom