Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

agricultural

New Member
Oct 4, 2020
3
6
Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka?

Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu.

======
Michango wa mdau

Fikiri biashara ya something to do with food - mtu ni lazima ale kila siku... kwa hiyo tafuta eneo zuri anzisha Genge - yaani kiduka kisafii cha mbogamboga na matunda ya kila aina - kisha weka na nafaka kama Mchele, Unga wa ngano, Mahindi nk Mtaji wako wa 2m utatosha - Mil moja kwenye eneo la frem na 1m Mzigo.

Nakuhakikishia kwa siku hukosi faida ya 20,000 hadi 25,000 ambapo kwa mwezi ni Tshs. 600,000 hadi 700,000.
 
Ml.2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka ?mimi ni single mama nnaehitaji kujishugulisha ili niishi vizuri na mwanangu
Taja location mkuu maana unaweza shauliwa kitu kumbe sehemu ulipo isikuletee tija.
 
Fikiri biashara ya something to do with food - mtu ni lazima ale kila siku... kwa hiyo tafuta eneo zuri anzisha Genge - yaani kiduka kisafii cha mbogamboga na matunda ya kila aina - kisha weka na nafaka kama Mchele, Unga wa ngano, Mahindi nk Mtaji wako wa 2m utatosha - Mil moja kwenye eneo la frem na 1m Mzigo.

Nakuhakikishia kwa siku hukosi faida ya 20,000 hadi 25,000 ambapo kwa mwezi ni Tshs. 600,000 hadi 700,000.
 
Fikiri biashara ya something to do with food - mtu ni lazima ale kila siku... kwa hiyo tafuta eneo zuri anzisha Genge - yaani kiduka kisafii cha mbogamboga na matunda ya kila aina - kisha weka na nafaka kama Mchele, Unga wa ngano, Mahindi nk Mtaji wako wa 2m utatosha - Mil moja kwenye eneo la frem na 1m Mzigo.

Nakuhakikishia kwa siku hukosi faida ya 20,000 hadi 25,000 ambapo kwa mwezi ni Tshs. 600,000 hadi 700,000.
Nakuunga mkono mkuu
 
Naona kwenye uzi nyingi watu wengi wanashauri kuhusu biashara ya fedha za mitandao, mfano mpesa, tigo pesa nk. Naomba mwenye experience na hii kitu afunguke vizuri kuhusu hii biashara kwa faida ya watu wengi
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom