Nina miaka mitano sijala UGALI

Wali, tambi mbona vingi tu
Kukataa kula ugali kwamba ni chakula kubaya, sijui kwenye ladha ama kwenye muonekano halafu ukakimbilia wali ndio naona vituko.

Kiafya wali ni wa hovyo kuliko ugali maana wali una vitu 3 kwa pamoja, chumvi nyingi ambayo ni hatari kwa moyo, mafuta mengi na wanga nyingi.

Kwenye health benefits, wali ni hovyo kuliko ugali.
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.


"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Kuna makabila bila misifa hayakamiliki.
 
Mkuu siku hizi wengi tuna magari, tunakula ugali na kukaa kwenye magari, tukirudi home tunakula ugali na kulala..yaani sio kama wazee unaosema, walikuwa wanakula ugali na wanatembea maili nyingi kwa mguu au wanafanya kazi kutwa nzima, ugali wote unatumika. Hata sisi tulipokuwa watoto miili ilikuwa mkao tu, sasa hivi ndio manyama yanaanza kuja
 
Ugali is the ovyo-est kwangu, mimi kama mimi hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…