Nina miaka mitano sijala UGALI

Honestly naupenda ugali sana sana hata niwe km Elon musk siku moja ugali iz my favorite, plus machalarii, pilau na chapati usisahau nyama samaki
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
Bado hujala ugali wa mtama na uwele na kuku wa kienyeji aliyeungwa kwa maziwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ