Nina miaka mitano sijala UGALI

Aisee. Mkuu umeongea kitu cha maana kweli.
Kuna mhaya alipika ugali aisee ulikuwa tepetepe kama ndizi.

Nyuma ya pazia wanasema sitaki ugali kumbe hawajuui kupika ugali
Upishi ni taaluma.Ukizubaa unaletewa uji kwa supu ya kabeji.
 
kabisa mkuu maana ukila sana mahindi ni hatari kwa afya kuna ugonjwa unapata ukiachana na kisukari
 
Tupo kwenye kizazi cha kipumbavu sana mkuu!

Wazee wetu wamekula ugali tangu wakiwa na miezi 2 lakini angalia akili zao!
.
Mfano akili za kizazi cha 60's utalimganisha na hili chenye akili kama za broila huku wanakataa kula ugali?
 
Hawa watoto wa 2000 wpuz sana

Ova
 
Ili usilete madhara, Kawaida ugali unatakiwa 1/4 ya msosi wote

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…