Nina miaka mitano sijala UGALI

Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni wanuliza huu UGALI kapika nani?

Mimi najua jinsi ya kuusonga UGALI ila ndugu zangu especially dada zangu kupika UGALI ni zero kabisa hawajui.

Kama hujui sema sijui sio sipendi.
 
Hongera kwa kula maugali
 
Ugali umenikuza siwezi kamwe siwezi kuudharau.. Kwangu Mimi chakula ni ibada
 
KATAA UGALI, UGALI NI MATESO.

Kataa kudumaa
Kataa kula chakula cha wanyama
dharau za kiwango cha lami......ww inabidi ukaishi ulimwengu wa kwanza uko......unajitia kutupongea wala ugali uku unakaa nchi za ulimwengu wa tatu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…