Nina miaka mitano sijala UGALI

Kmmmmk...kwamba reference code ni Doktori Jana B...🙌🤣
 
Na unajisifia kabisa....kuna mwenzio alikuwa HALI kabisa nikashangaa mimi, nilipouliza kwa nini! wakasema akila anatapika🙂,nikawauliza jela wanasema kule ni ugali tu, akienda huko? Mtampelekea wali kila siku😄? ila Mungu si wanasema sio bwana Tobo wala Bi Thamia?akaenda jela bhana...STORY MALIZIA MWENYEWE🤐

nb..kuna ugali na kuna kinachotumika kutengenezea Ugali
 
Vijana wa 2000 nawaangalia tu. Mwingine kasema sili ugali nakula mihogo, nk hapo sasa ndo umekwepa nn.
Ki msingi katika nchi zinazoendelea kuacha kula vyakula vua wanga ni ghatama kubwa na kula wala usiwaze sana mi huwa nakula ninachojisikia kula siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…