Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

Ameonja kwingine umeonekana kupungua, huenda ktk mambo kama utamu wa papuchi, msisimko wa mahaba, amepima maisha yake na mengine madogo madogo mwache na unasumbuka bure kila shetani na mbuyu wake. Utapata wa kwako wa ukweli ambaye fittnes ya vitu hivyo hapo juu itakuwa mwake mwake
 
Habari zenu,

Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwa kipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kazi hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.

Kilichonifanya nije hapa jamvini ni kwamba mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi simu nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula, nimekua mtu wa kulia lia kila mara.

Tafadhali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni.

pole sana, mapenzi yanaumiza sana ila ukiamua kuachana nae itafika time utasahau tu na maisha yataendelea
 
dadangu jje's mimi nilimwambia amtafute ili ajue source ya tatizo . Lakini pia there are sometimes tunakuwa kwenye bad mood na kupelekea kuwa na maamudhi ya majuto baadae namaanisha huyo jamaa] vivyo basi kwa mtazamu wang apige kimya kama jamaa hatajirudi asonge mbele na maisha yake

Ni rahisi wewe na mimi kusema dada yetu amuache mshkaji kirahisi wakati hatujui ni namna gani dada alimhifadhi jamaa moyoni, jamani mapenzi yanauma asikwambie mtu ndyo maana dada ngumu kwake kirahisi

Kwa kumalizia soma maneno haya ya mtunga zabur 'iTazama ilivyo vema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja.Ni kama mafuta mazuri kichwani,yashukayo ndevuni,ndevu za Haruni,yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.Kama umande wa Hermoni,ushukao milimani pa sayuni,maana ndiko Bwana alikoamuru baraka,Naam uzima hata milele'
Nimekuelewa, mapenzi hayajawahi muacha mtu salama. So ni vyema akajifunza huku pia.
Wakati mwingine wakimtukanatukana kwa kumgombeza ndio itampa nguvu ya kumove on
Yaan mm napa pole aisee maana ukiona hadi mtu ameyaleta humu ujue yamemkaba koo
 
Ukiwa na kazi au biashara inayokuingizia kipato ni vema ukafanya analysis ya kutosha pale ambapo unataka kuingia mahusiano...wengi(sio wote) wanakuja kwa maslah
1.Anajua hutomtegemea sana hivyo anapata nyapu ya buree
2.Atataka kukutumua kama daraja umvushe katika hali aliyonayo...

Alikuja Dr...mmoja enzi hizo...alipretend kunipenda sana ...alinipeleka site yake..baadae akadai tusaidiane kujenga nyumba yetu ili tufunge ndoa...nakumbuka nilimwambia hii statement tukiwa pale pale site...sijengi na boyfriend...aliumia tukiwa tunarudi njiani anaongea mwanzo mwisho...nilimwambia unless ni mume sitakuja kuthubutu kujenga na boyfriend...from there akili ilinikaa nikakaa kiujanja janja sana na kumbania kila kitu kuanzia mimi mwenyewe,akaona uzushi one day akaniambia siwezi kudate na mwanamke busy then hela yake siioni ...nilicheka sana kimoyomoyo coz nilishajua alitaka nini kwangu na nikajiandaa kisaikolojia....mwisho wa siku nilibreak up nae...kwa hiyo my dada jifunze kupenda kwa akili na sio moyo ukiwa na boyfriend...akiwa mume sasa ndo umpende kwa moyo...baadhi ya kaka zetu wamekuwa wavivu wanataka mteremko....

Save your heart and love for your husband sweetie.....
Akisoma hapa na asipoelewa basi tena
 
Kati ya kitu kinachouma na kuvunja moyo katika mapenzi ni uachwe na mpenzi wako mliyekuwa mnapendana sana, pia mkafanya mengi kwa pamoja halafu mwisho wa siku akaanza kubadilika bila sababu na mwishowe kukutema inauma sanaaaa yani Sanaa. yani ni bora akuambie sababu ya kukuacha kuliko akuache kimya kimya.
POLE SANA MKUU! NAJUA HALI UNAYOPITIA NI NGUMU NA ISIYOELEZEKA, JIKAZE TU HAKUNA NAMNA. Futa machozi na uuhaidi moyo wako kwamba hautalia tena kwasababu ya mapenzi. Inuka na usimame imara kama mwanamke shupavu, au wewe sio Malikia wa nguvu? [emoji848][emoji848][emoji848]Usikubali kuumizwa akili na kukonda kwa sababu ya mtu mmoja ilihali pembeni yako kuna watu zaidi ya ishirini wanatamani ungekuwa wao!
Word
 
Gentleman lazima awe hivyo mambo ya kuwadekeza wanawake yashapitwa na wakati, sahv mapenzi n kama kikombe kimoja cha maji kumimina kwenye bahari,.. Nampa tano huyo mwana.
 
Uzuri mi simlaziagi damu mtu wa hivy, hata bibie anajua akianzaga pozi tu namchanaga,

"Mama hivi ukiniangalia unaona nimepungua chochote, au unahisi labda nina ulemavu wowote mwilini kiasi cha we kujiona special hivyo?" Sirudii hio kauli inafataga actions...

Anaufyata na adabu inarudi mahali pake coz anaelewa kitachofatia nini baada ya hapo km akiendeleza utoto. Tushayapitia hayo but kikubwa kwa haya mahusiano ya kibongo bongo yenye uzushi mwingi don't ever again agree to be a victim. Weka principles juu ya vile unataka iwe kama mtu hakuelewi chapa yebo tu...
 
Hizi ID za July 2017 naona huwa zinatuinjoy tu. Usikute ni boya moja hum JF linatuchezea akili
 
Binadamu tumeumbwa tofauti mwingine akiwa na matatizo anapenda awe mwenyewe atulize akili,,,cha msingi mpe muda na usimtumie sms za kumlaumu.Baada ya kama mwezi mtafute kwa hekima muongee,,,,kama kweli anakupenda utaona respond yake na kama hakupendi utajua
Wazo zuri, lakini nini maana ya mwenza wako sasa ? Maana umri Wa maringo & kununa & kuchuna ulishapitwa kitambo kama anajambo ambalo ni contradictory why wasi share mawazo na wakacheki ufumbuzi kuliko kusumbua moyo na akili ya mwingine kwa sababu tu anakupenda
 
Achana nae huyo usimbembeleze ipo siku atakukumbuka
let him go
huna kasoro kiasi kwamba unamnyenyekea asiyejali hisia zako
let him go
kaza moyo mwache usiupe moyo wako nafasi ya demokrasia mamaa(uambie moyo SITAKI.!)
narudia tena let him go
Una uhakika atakuja kumkumbuka au unampa tu mwenzako moyo ?
 
Back
Top Bottom