Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

Ulikuwa unatoa kwa moyo au kwa masharti na masimango,wengi wenu mnatusaidia kwa masharti na masimango matokeo yake tukipata hatua ya kwanza ni kukata kamba au ulikuwa hujui kwamba jamaa hayupo serious na wewe..chagua mwenyewe
Nilitoa kwa moyo
 
Yaani wewe dada ndani ya miezi minne tu umeshaachia moyo wako woo- o-te na kumpenda mtu kiasi hicho? Kuanzia sasa sahau kila kitu kuhusu yeye. And next time kabla ya kujiachia moyo wako umpende mtu sana angalia tabia sana ujaribu "kumsoma" kwa undani kwa kipindi kirefu sio miezi minne tu. Au labda alikuwa anakugharamia vitu vingi sasa umevimiss na alipokata mawasiliano ukaumia kwa kukosa hizo zawadi-sio kukatika kwa penzi
Hajawai nipa hata 100 yake mkuu
 
Uzuri mi simlaziagi damu mtu wa hivy, hata bibie anajua akianzaga pozi tu namchanaga,

"Mama hivi ukiniangalia unaona nimepungua chochote, au unahisi labda nina ulemavu wowote mwilini kiasi cha we kujiona special hivyo?" Sirudii hio kauli inafataga actions...

Anaufyata na adabu inarudi mahali pake coz anaelewa kitachofatia nini baada ya hapo km akiendeleza utoto. Tushayapitia hayo but kikubwa kwa haya mahusiano ya kibongo bongo yenye uzushi mwingi don't ever again agree to be a victim. Weka principles juu ya vile unataka iwe kama mtu hakuelewi chapa yebo tu...
Gud
 
Gentleman lazima awe hivyo mambo ya kuwadekeza wanawake yashapitwa na wakati, sahv mapenzi n kama kikombe kimoja cha maji kumimina kwenye bahari,.. Nampa tano huyo mwana.
Mapenzi yana laana we endelea tu
 
Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
ulimuuliza katika hali ya ukali mwanao huyo??? wacha uteseke tuu......tatizo mnafikiri mwanaume ni bidhaa unayoweza kuimiliki bila VAT....!!!
 
ulimuuliza katika hali ya ukali mwanao huyo??? wacha uteseke tuu......tatizo mnafikiri mwanaume ni bidhaa unayoweza kuimiliki bila VAT....!!!
Unataka kujua kama ni mwanangu au c mwanangu ili ugundue nn?
 
Back
Top Bottom