donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Inawezekana simu yake ni mbovu mkuu
endelea kujiuguza....jua kuwa mwanao ndo wa kumuongelesha kwa kwa ukali......sio mwanaume anaekukaza....Unataka kujua kama ni mwanangu au c mwanangu ili ugundue nn?
Sasa apo nicngekua mkali angesema? Kaka uczan cc tunapenda kua makondoo tu kwenu heshima yetu kwenu imekua mwiba wakutuchoma cc wenyewe.endelea kujiuguza....jua kuwa mwanao ndo wa kumuongelesha kwa kwa ukali......sio mwanaume anaekukaza....
nakuelewa mdogo wangu.....ila kumsemesha kwa ukali mwenza wako inajenga kitobo moyoni,,,, mapenzi ni utamu utamu dada....kukwaruzana kupo....but kutoa stress zako kwa ukali.....kunakuzidishia ukali.....usiangalie upande wako pekee...ushawahi cheza karata...last card game......jaribu kucheza hata na rafiki yako...then uje uniambie....y nimekuelekeza huko......yataisha ila kuwa makini......wanaume hatupendi mineno mikali kutoka kwenu....hata sie hatupendi pia kuwagombeza kwa ukali.....mapenzi kusemezana.......Sasa apo nicngekua mkali angesema? Kaka uczan cc tunapenda kua makondoo tu kwenu heshima yetu kwenu imekua mwiba wakutuchoma cc wenyewe.
Hongera bibieNimefaidika sanaaaa, ni wiki sasa cjamchek
Sawa unaweza pata mwenye moyo wa kugharamikia lkn kuwa makini wanawaje wabifsi wanaogopwa sn hasa siku hizi za maisha magumumimi huo moyo wa kutoa sina mkuu
hapo ndo salama yangu
hata wakiniogopa ndo vizuri maana mie ninae wangu amenipenda jinsi nilivyoSawa unaweza pata mwenye moyo wa kugharamikia lkn kuwa makini wanawaje wabifsi wanaogopwa sn hasa siku hizi za maisha magumu
Huyohuyo anaekupenda na kukupa kila kitu anaweza kudrop kdg tu akajuta kwann yupo na mwanamke ambaye changu chake,chake chake..hongerahata wakiniogopa ndo vizuri maana mie ninae wangu amenipenda jinsi nilivyo
asante kwa ushauri ila loooh naweza nipate homa ya muda mfupi jmn
Pole sana mtafute Magonjwa Mtambuka akuliwazeHabari zenu,
Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwa kipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kazi hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa jamvini ni kwamba mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi simu nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula, nimekua mtu wa kulia lia kila mara.
Tafadhali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni.
Duh.Pole sana mtafute Magonjwa Mtambuka akuliwaze