We mkuu kuna yule mwenza unakutana nae anakuzidi kila kitu kuanzia maufundi , midekezo hadi mkwanja ndugu usiombe yakukute utaona kila kitu hakiendi, ujanja wote unapotea sema ule uzoefu tu ndo unasaidia.mie ukiniwekea mapozi siku moja tu ya masaa 24 ndo bas !yaan sikusumbukii hata ! kha !wanaume walivyojazana namna hii nakuliliaje sasa
We mkuu kuna yule mwenza unakutana nae anakuzidi kila kitu kuanzia maufundi , midekezo hadi mkwanja ndugu usiombe yakukute utaona kila kitu hakiendi, ujanja wote unapotea sema ule uzoefu tu ndo unasaidia.
Huenda mkavichukia vitu ikawa ni heri kwenu,na huenda mkavipenda vitu ikawa ni Shari kwenu,muombe mungu akuongoze,Habari zenu,
Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwa kipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kazi hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa jamvini ni kwamba mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi simu nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula, nimekua mtu wa kulia lia kila mara.
Tafadhali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni.
HahahaaaDuuh anakuacha virginity huyu ana akili kweli?
Bikra ni almasi hiyo au nawe ni jina tu Upo used!!!!!!
Jitahidi sana maana mapenzi maumivu yake huwa yanaathari kubwa sana.plzzNtajitahidi nakuahidi
Kama utajinyonga,nigeshauli utumie suruali yake au nguo yake ili kuisaidia Polisi,tusizidi kuongeza watu wasiojulikana!!!!Ntajitahidi nakuahidi
sasa fanyia kazi mashauli hayo ya huyo ndugu,Yaani huu ambao nimeuesabu wanne wote mawasiliano c mazuri kakaangu, ni kweli nilimpenda sana sifichi. Lakini hali yake yakukaa kimya ndio inaniumiza
[emoji6] [emoji6]Haaahahaaaaa mpaka nmecheka mwenyewe
Iko ni kisingizio tu, akuna aja ya kulia km kakuona wa nn nawe muone wa kazi gani, jilazimishe kukubaliana na hali maisha yaendeleeNilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache