Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

Ukiwa na kazi au biashara inayokuingizia kipato ni vema ukafanya analysis ya kutosha pale ambapo unataka kuingia mahusiano...wengi(sio wote) wanakuja kwa maslah
1.Anajua hutomtegemea sana hivyo anapata nyapu ya buree
2.Atataka kukutumua kama daraja umvushe katika hali aliyonayo...

Alikuja Dr...mmoja enzi hizo...alipretend kunipenda sana ...alinipeleka site yake..baadae akadai tusaidiane kujenga nyumba yetu ili tufunge ndoa...nakumbuka nilimwambia hii statement tukiwa pale pale site...sijengi na boyfriend...aliumia tukiwa tunarudi njiani anaongea mwanzo mwisho...nilimwambia unless ni mume sitakuja kuthubutu kujenga na boyfriend...from there akili ilinikaa nikakaa kiujanja janja sana na kumbania kila kitu kuanzia mimi mwenyewe,akaona uzushi one day akaniambia siwezi kudate na mwanamke busy then hela yake siioni ...nilicheka sana kimoyomoyo coz nilishajua alitaka nini kwangu na nikajiandaa kisaikolojia....mwisho wa siku nilibreak up nae...kwa hiyo my dada jifunze kupenda kwa akili na sio moyo ukiwa na boyfriend...akiwa mume sasa ndo umpende kwa moyo...baadhi ya kaka zetu wamekuwa wavivu wanataka mteremko....

Save your heart and love for your husband sweetie.....
 
Habari zenu

Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.

Kilichonifanya nije hapa jamvini ni kwamba mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu wa kulia lia kila mara, tafadhali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni.

Kwani mapenzi yenu mlianza wakati bado upo tumboni kwa mama au? Mtu mmekutana wote mmeshakomaa halafu unaleta hadithi kwani bila yeye maisha hayawezi kwenda? Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo, maana humo ndipo unapotoka uhai wa mtu.
 
Kati ya kitu kinachouma na kuvunja moyo katika mapenzi ni uachwe na mpenzi wako mliyekuwa mnapendana sana, pia mkafanya mengi kwa pamoja halafu mwisho wa siku akaanza kubadilika bila sababu na mwishowe kukutema inauma sanaaaa yani Sanaa. yani ni bora akuambie sababu ya kukuacha kuliko akuache kimya kimya.
POLE SANA MKUU! NAJUA HALI UNAYOPITIA NI NGUMU NA ISIYOELEZEKA, JIKAZE TU HAKUNA NAMNA. Futa machozi na uuhaidi moyo wako kwamba hautalia tena kwasababu ya mapenzi. Inuka na usimame imara kama mwanamke shupavu, au wewe sio Malikia wa nguvu? [emoji848][emoji848][emoji848]Usikubali kuumizwa akili na kukonda kwa sababu ya mtu mmoja ilihali pembeni yako kuna watu zaidi ya ishirini wanatamani ungekuwa wao!
 
Aliekuambia mwanaume anapewa ela nani?? MBITIYAZA eti shoga angu,mpenzi umpe ela???sio mume mpenzi tena wa miezi mi4? Unajiumiza bure tu. Sasa ukilia atapokea simu? Haya maliza kulia ndio ujue kuna maisha baada ya kujiliza liza na tuendelee na mambo yako.

Duh [emoji849][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Habari zenu

Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.

Kilichonifanya nije hapa jamvini ni kwamba mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu wa kulia lia kila mara, tafadhali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni.
Kwa jina la Yesu acha kulia sasa.futa machozi na ukaushe macho yako tazama mbele kwa kujiamini kwenye unachojishuhulisha nacho.Pay your full concentration kwenye hicho ukimtanguliza Mungu na majibu ya kumpata mume umpendae,awe huyo au mwingine utakae mfurahia.Hicho ulicho wahi kumfanyia au kufanyiana kisikusumbue kwani ni cha wakati huo na maisha ni lazima yaendelee aidha mkiwa pamoja au la!Mchumba wako huyo labda kuna vitu vilivyoko nje ya uwezo wake,au vyovyote vile vinazuia msionane.Hilo lisikutie shaka au kukunyima kula!No!Mahusiano ya miezi mine tu unapata shida hivyo?Say No!Fikiri,mbona ulikuwa unaishi tuvizuri kabla ya kukutana!Na nakuahidi bado tu utaendelea kuishi vizuri hata kama huyo hautakua nae tena!
 
Habari zenu

Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.

Kilichonifanya nije hapa jamvini ni kwamba mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu wa kulia lia kila mara, tafadhali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni.
Eti tulipendana, ukipenda usipopendwa haya ndiyo majibu sahihi, ulimkuta nashida ukahisi utazitumia kuteka akili na mapenzi yake kwa mpenziwe??

Sasa kazi anayo utaisoma namba! Ushauri wa bure njoo kwangu hutajuta ila km unaweza kusahau nyama na mikate ya misri. [emoji176][emoji176][emoji176]
 
miez minne mbn midg sana kuweza kumsahau !!!!!!!!!!? duh hebu kumnukia mabaya yake utamsahau mapema sana !aisee nashukuru hyo stage ya makuzi ya kulilia men sijawah ifika bora niliivuka !yaan duh !hebu jitahd kudelete kila kitu chake
Mama penzi la kumoyo hata la week 1 linauma sana.

Dedication 'mapenzi jeneza ya barnaba' yatakwishaaa
 
Habari zenu

Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.

Kilichonifanya nije hapa jamvini ni kwamba mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu wa kulia lia kila mara, tafadhali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni.
Ayaa.... kashajanjaruka huyo kwa hiyo usitumie nguvu nyingi wewe uache moyo usukume damu na usihangaike na mengine
 
Achana nae huyo usimbembeleze ipo siku atakukumbuka
let him go
huna kasoro kiasi kwamba unamnyenyekea asiyejali hisia zako
let him go
kaza moyo mwache usiupe moyo wako nafasi ya demokrasia mamaa(uambie moyo SITAKI.!)
narudia tena let him go
 
Pole sana...
Na inasikitisha sana, kwa watu wenye tabia za wakiwa hawana na wema, wakizipata ni wanabadilika...

Alikuwa hakupendi, bali alikuwa na wewe kwa ajili ya misaada yako...

Vuta subira lakini, usichukue maamuzi ya ajabu mapema, wala usijepe mawazo sana...

Kama ipo ni ipo tu... Vumilia mambo mazuri hayataki haraka... Nenda nae taratibu

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom