martinsindani
Member
- Aug 18, 2016
- 22
- 3
Komaa nae mpaka uone Muvie lina ishaje
Umenichekesha sana. eti ushamba wa helaMpe muda azowee pesa kwanza. Pesa Zina utamu kama ushamba wa kuja mjini. Akizowea atakurudia na kukuletea card za AM SORRY BABY na maua.
Pole sana mkuu
Asante dear I'll do thatUkiwa na kazi au biashara inayokuingizia kipato ni vema ukafanya analysis ya kutosha pale ambapo unataka kuingia mahusiano...wengi(sio wote) wanakuja kwa maslah
1.Anajua hutomtegemea sana hivyo anapata nyapu ya buree
2.Atataka kukutumua kama daraja umvushe katika hali aliyonayo...
Alikuja Dr...mmoja enzi hizo...alipretend kunipenda sana ...alinipeleka site yake..baadae akadai tusaidiane kujenga nyumba yetu ili tufunge ndoa...nakumbuka nilimwambia hii statement tukiwa pale pale site...sijengi na boyfriend...aliumia tukiwa tunarudi njiani anaongea mwanzo mwisho...nilimwambia unless ni mume sitakuja kuthubutu kujenga na boyfriend...from there akili ilinikaa nikakaa kiujanja janja sana na kumbania kila kitu kuanzia mimi mwenyewe,akaona uzushi one day akaniambia siwezi kudate na mwanamke busy then hela yake siioni ...nilicheka sana kimoyomoyo coz nilishajua alitaka nini kwangu na nikajiandaa kisaikolojia....mwisho wa siku nilibreak up nae...kwa hiyo my dada jifunze kupenda kwa akili na sio moyo ukiwa na boyfriend...akiwa mume sasa ndo umpende kwa moyo...baadhi ya kaka zetu wamekuwa wavivu wanataka mteremko....
Save your heart and love for your husband sweetie.....