Age yako Tafadhali.Habari zenu,
Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwa kipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kazi hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa jamvini ni kwamba mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi simu nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula, nimekua mtu wa kulia lia kila mara.
Tafadhali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni.
utanielewesha shem nakusubiriHukunielewa nilivyomaanisha shem
ajisogeze kwa mpenzi mwingine au asubiri mpaka hapo atakapopata mwingine tena..umenielewa?utanielewesha shem nakusubiri
nimekuelewa shem wanguajisogeze kwa mpenzi mwingine au asubiri mpaka hapo atakapopata mwingine tena..umenielewa?
Hata hivyo ulitoa kidogo....nimekuelewa shem wangu
nilihisi umeniambia mie ndo nimetoa povu
hahahahahahhahaHata hivyo ulitoa kidogo....
duuuh, sitaki kusikia hii kitu maana moyo wangu naupendaUlikuwa unatoa kwa moyo au kwa masharti na masimango,wengi wenu mnatusaidia kwa masharti na masimango matokeo yake tukipata hatua ya kwanza ni kukata kamba au ulikuwa hujui kwamba jamaa hayupo serious na wewe..chagua mwenyewe
Naona unajitetea tu hahaha poahahahahahahhaha
haya shem, ila sikuweka maji bhana povu lilitokaje?
kujitetea muhimu shem looohNaona unajitetea tu hahaha poa
Sasa huko ni kuyaogopa mapenzi...na unachoogopa ndo kinakutokea...km una moyo wa kutoa we toa tu ,mapenzi hayana formuladuuuh, sitaki kusikia hii kitu maana moyo wangu naupenda
huyu dada alienda more than her limitations
kazi ya moyo ni kusukuma damu...kuuhusisha na mapenzi ni kujitakiaduuuh, sitaki kusikia hii kitu maana moyo wangu naupenda
huyu dada alienda more than her limitations
mm JF imenisaidia sana, mwanzo nilikuwa natesa moyo wangu ila siku hizi moyo wangu ni kwa ajili ya kusukuma damu onlykazi ya moyo ni kusukuma damu...kuuhusisha na mapenzi ni kujitakia
siku zingine kubali ukwelikujitetea muhimu shem loooh