Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

miez minne mbn midg sana kuweza kumsahau !!!!!!!!!!? duh hebu kumnukia mabaya yake utamsahau mapema sana !aisee nashukuru hyo stage ya makuzi ya kulilia men sijawah ifika bora niliivuka !yaan duh !hebu jitahd kudelete kila kitu chake
 
Tatizo mnakoseaga kitu. Ukitaka usiumie issue ya kupiga simu MTU hapokei acha kumpigia apige yeye akiwa na muda hutapata haya.


mie ukiniwekea mapozi siku moja tu ya masaa 24 ndo bas !yaan sikusumbukii hata ! kha !wanaume walivyojazana namna hii nakuliliaje sasa
 
Huwa nashangaa sana watu ambao hawajafunga pingu kuumizwa na mapenzi mpk kuchanganyikiwa. Tupa kule endelea na maisha yako....maisha mafupi, futa machozi move on!
 
Inaonyesha wewe ndie uliempenda na haukutengeneza mazingira ya urafiki kwanza kati yako na yeye.
 
Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
Umuache kweli kwani ss tumeisha tupo tunatafta tatzo hamjiongez njoo pm mama utulize nafs yako
 
Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
Hilo ni jibu tosha kuwa hutakiwi. Usilazimishe mapenzi hata siku moja.
 
Huyo hakua wako, mshukuru Mungu kakuonesha tabia yake mapema huenda huko mbeleni angekuumiza zaidi!!

Usipende mtu mzima mzima!!
 
mtafute muonane ana kwa ana itakuwa vizuri zaidi simu muda mwingine sio suluhisho
mkiwa wote hata maogezi yanakuwa mazurj kma alivyokutaarifu ana stress za kifamilia unaweza ukamsaidia kwa namna moja au nyingine na mtaongea mengi na roho yako ikapona
ujue jamaa yako amekosa wa kumtoa kwenye stress halafu mnaonekana wote wabinafsi
 
Habari zenu!
Nilikua na mpenzi ambae tumedum kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhat na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa janvini ni kwamba: mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu.kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu Wa kulia lia kila mara, tafazali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni
Mkuuu "" miezi minne ???? Tulipendana sana ????? .....embu kua serious ....huo muda ni muda ambao love is on fire ,high burning desire .

Well ,,, Embu acha kuhunika namna hiyo ,maishanyenyewe yako wapi ? Hata km umeamua usimwonyeshe umeamua ,acha kutafuta huruma ya kurudiana naye .

Kwamaelezo yako jamaa ,,alikuja kwako kutafuta wepesi wakat akingoja kazi ,,lkn pia kupunguza shahawa kwasababu Hana kazi kwaiyo nivigumu kupata mwanamke. Nausikute alikudanganya Akishapata kazi mnaanza process za kuoana !! Duuhhhhh wanaume bana.

Wenda hakua amekupenda ila kutokana na shida zake alikua kutumua muda mwingi akipretend anakupenda kumbe wala!!!

Usiumize kichwa na mwanamme km huyo ,, you are beautiful ,,you are the Queen of ur own fortune ,,, unamvuto sana ,, nakila mwanamme anataman kua nawewe ,,sasa y uanze kujihisi inferior km hivo ????? Kama ni m.b.o.o..o kila mwanamme anayo ,,kama niupendo kila mtu anajua kupenda ..

Just give yourself space ,,,Fanya maisha ,,atakuja wadhat ,,mtakulana vyakutosha ,mtazaa ,,mtafanya maisha.
 
Sasa wew kama hakutaki unalia nini?Endelea na mambo yako
 
Pole sana dada! Inuka,futa vumbi,endelea na safari! Be careful usitafute mtu kureplace kwanza! Tambua tatizo ni nini! Ukitaka kureplace faster im sure you will kiss many frogs before you kiss the prince! Karibu pm tubadilishane experience! Niliumia now nimepoa!
 
Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
Pole sana dadangu real love halipozi mawasiliano imara nakama yuko busy haimaanishi 24hrs yuko bussy hivyo basi mpaka sasa mwenzako anaweza kuwa Hana upendo wa mojakwa moja
Kisa kama hicho hata mm nilishawahi kukipata ila nilifanya maamuzi magumu yakuifanya akili yangu na moyo wangu kuwa na AMANI muda wote
Hivyo dadangu ukiona unateseka ng'atuka usiwe rigid na usiwe na pupa na mapenzi
Muombe Mungu kwa imani naye atakujalia MTU mtakaye fanana mtazamo na fikra
 
Huwa nashangaa sana watu ambao hawajafunga pingu kuumizwa na mapenzi mpk kuchanganyikiwa. Tupa kule endelea na maisha yako....maisha mafupi, futa machozi move on!
hivi kumove on inakuaje rahisi kwa watu wengine?
 
Back
Top Bottom