Nina masters ya management ila nashangaa kazi imekua ngumu kupata

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
nchi hii sijui hata imekuweje bado tu naganga njaa mtaani na masters ya ngu ya management miaka ile ilikua mteremko lakini naona dunia ya sasa imebadilika hii sio tanzania ile ya miaka ile jamani nisaidieniiiiiiiiiiiiii

mkuu serikali wasanii hawa kila mwaka bungeni wanaongea hivyo ila unakuta hawatekelezi bora enzi za mkapa yalikua yanatekelezeka kidogo ila kwa jk hadithi zimekua nyingi sana

Management ya kitu gani ndugu?maana zipo nyingi.
Pili ,ushawahi kufikiria kujiajiri wewe mwenyewe au kuwaajiri wengine?Usipende kuwa tegemezi wa kuajiriwa.think out side the box

nimepiga bachelor na masters ya organizational management
Management ya kitu gani ndugu?maana zipo nyingi.
Pili ,ushawahi kufikiria kujiajiri wewe mwenyewe au kuwaajiri wengine?Usipende kuwa tegemezi wa kuajiriwa.think out side the box

katika kiwango cha masters, unahitaji kuwa na uzoefu wa angalau miaka mitatu kwani kwa mujibu wa miundo ya utumishi serikalini, unaweza kupata senior position (mfano senior administrative officer II). na shida itakuja kama una masters lakini huna huo uzoefu. hapo utakuwa bado unapungua sifa, kwa hiyo una option mbili.

1. jaribu private sector (ila ujiandae kwa ushindani mkali unaojali matokeo ingawa nako wanahitaji uzoefu pia)
2. tumia bachelor yako kutafutia kazi na ukishaipata utaangalia namna ya kunyofoa masters na kuianika ili kufikiriwa promotion kama itawezekana (hapo pia waweza kuangushwa na umri manake kama umri ni mkubwa, waajiri watasita kukuajiri katika junior positions)

kwa kweli kama una masters na una uzoefu wa miaka mitatu na kuendelea, kazi ni nyingi sana na hata unaweza kuwa unachagua unayotaka, ili mradi tu uwe mwaminifu, yaani usiwe na kashfa yoyote au rekodi ya utoro, ugomvi, uvivu, ubishi kwa mabosi wako nk.

hata hivyo, Mungu hajawahi kutuacha na siku zote hutuwazia yaliyo mema. anajua hata idadi ya nywele vichwani mwetu. waangalie mashomoro, angalia maua ya kondeni, jinsi Bwana anavyoyarutubisha na kuyatunza! je, sisi si bora zaidi yao? usikate tamaa mpendwa, endelea na juhudi zako za kutafuta kazi na hata kuongeza elimu zaidi ukipata fursa, usikatishwe tamaa na maneno ya watu au maringo ya mabosi huko maofisini.

natumaini umenisoma vyema,

ubarikiwe sana mpendwa na kila la heri

Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!

Fikiria kujiajiri mkuu... Hakuna ajira inayolipa. Halafu nyie watu mnaosoma mambo ya arts arts, acheni kukimbilia kuunganisha masters baada ya kupata bachelor mkidhani ndio mwaongeza nafasi za ajira au mafanikio. Ukimaliza masters yako na kurudi utamkuta dogo ana bachelor na xperience kubwa usiyokuwa nayo.

nashukuru sana sister nimefarijika sana kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
katika kiwango cha masters, unahitaji kuwa na uzoefu wa angalau miaka mitatu kwani kwa mujibu wa miundo ya utumishi serikalini, unaweza kupata senior position (mfano senior administrative officer II). na shida itakuja kama una masters lakini huna huo uzoefu. hapo utakuwa bado unapungua sifa, kwa hiyo una option mbili.

1. jaribu private sektor (ila ujiandae kwa ushindani mkali unaojali matokeo)
2. tumia bachelor yako kutafutia kazi na ukishaipata utaangalia namna ya kunyofoa masters na kuianika ili kufikiriwa promotion kama itawezekana (hapo pia waweza kuangushwa na umri manake kama umri ni mkubwa, waajiri watasita kukuajiri katika junior positions)

kwa kweli kama una masters na una uzoefu wa miaka mitatu na kuendelea, kazi ni nyingi sana na hata unaweza kuwa unachagua unayotaka, ili mradi tu uwe mwaminifu, yaani usiwe na kashfa yoyote au rekodi ya utoro, ugomvi, uvivu, ubishi kwa mabosi wako nk.

natumaini umenisoma vyema,

ubarikiwe sana mpendwa na kila la heri

Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!

nimekupata mkuu nashukuru sana
Fikiria kujiajiri mkuu... Hakuna ajira inayolipa. Halafu nyie watu mnaosoma mambo ya arts arts, acheni kukimbilia kuunganisha masters baada ya kupata bachelor mkidhani ndio mwaongeza nafasi za ajira au mafanikio. Ukimaliza masters yako na kurudi utamkuta dogo ana bachelor na xperience kubwa usiyokuwa nayo.

katika kiwango cha masters, unahitaji kuwa na uzoefu wa angalau miaka mitatu kwani kwa mujibu wa miundo ya utumishi serikalini, unaweza kupata senior position (mfano senior administrative officer II). na shida itakuja kama una masters lakini huna huo uzoefu. hapo utakuwa bado unapungua sifa, kwa hiyo una option mbili.

1. jaribu private sector (ila ujiandae kwa ushindani mkali unaojali matokeo ingawa nako wanahitaji uzoefu pia)

2. tumia bachelor yako kutafutia kazi na ukishaipata utaangalia namna ya kunyofoa masters na kuianika ili kufikiriwa promotion kama itawezekana (hapo pia waweza kuangushwa na umri manake kama umri ni mkubwa, waajiri watasita kukuajiri katika junior positions)

kwa kweli kama una masters na una uzoefu wa miaka mitatu na kuendelea, kazi ni nyingi sana na hata unaweza kuwa unachagua unayotaka, ili mradi tu uwe mwaminifu, yaani usiwe na kashfa yoyote au rekodi ya utoro, ugomvi, uvivu, ubishi kwa mabosi wako nk.

hata hivyo, Mungu hajawahi kutuacha na siku zote hutuwazia yaliyo mema. anajua hata idadi ya nywele vichwani mwetu. waangalie mashomoro, angalia maua ya kondeni, jinsi Bwana anavyoyarutubisha na kuyatunza! je, sisi si bora zaidi yao? usikate tamaa mpendwa, endelea na juhudi zako za kutafuta kazi na hata kuongeza elimu zaidi ukipata fursa, usikatishwe tamaa na maneno ya watu au maringo ya mabosi huko maofisini.

natumaini umenisoma vyema,

ubarikiwe sana mpendwa na kila la heri

Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!

yani unavyonkosha binti weye, hakika mawazo na uelewa wako utanifanya nitangazo nia kwako sijui kuna nafasi

Back
Top Bottom