Nina masters ya management ila nashangaa kazi imekua ngumu kupata

Mkuu
pole hii nchi aibadiliki nashukurru nimekuwa nikiwapongeza wanaopata degree na kuwaweka picha hapa kutoa ushauri wasirudi ulichofanya aulisahau kuuliza life ikoje sasa je bado rais nyerere nk hizi ni info zitakusaidi..kamaautakuwepo
kwenye mada nyingine ntakushauri urudi kusoma alafu ukifika huko kama utasoma ama lah juu yako ila nchi safi sana si unaoana wauza mafuta wanaondoa folen barabarani kazi aliyoshindwaa kikwete miaka 2 sasa wametujuza kwa wiki moja
 
<br />
<br />
yani unavyonkosha binti weye, hakika mawazo na uelewa wako utanifanya nitangazo nia kwako sijui kuna nafasi
Mh!sijui we ni mbaganda, hapo kwenye red pamenikosha.si mshauri kwa kiswahili hicho akuchukue.
 
mmmh huyu jamaa mbona simwelewi? Utadhani anaongea kifipa vile.
Mkuu<br />
pole hii nchi aibadiliki nashukurru nimekuwa nikiwapongeza wanaopata degree na kuwaweka picha hapa kutoa ushauri wasirudi ulichofanya aulisahau kuuliza life ikoje sasa je bado rais nyerere nk hizi ni info zitakusaidi..kamaautakuwepo<br />
kwenye mada nyingine ntakushauri urudi kusoma alafu ukifika huko kama utasoma ama lah juu yako ila nchi safi sana si unaoana wauza mafuta wanaondoa folen barabarani kazi aliyoshindwaa kikwete miaka 2 sasa wametujuza kwa wiki moja
<
 
Pole sana ndugu yangu.
Hapa Tz ndivo hali ilivyo. Lakini pia inategemea na experience uliyonayo kuwa labda ni ndogo katika hayo masomo yako.
Kwanza, Inawezekana umemaliza bachelors bila hata kufanya kazi kwa miaka kadhaa ukaunganisha kutafuta Masters halafu ndo umemaliza na umeingia sokoni sasa na sehem nying wanahitaji experience at least ya miaka 3 (hasa hasa serikalini)...labda ungetueleza kama uliunganisha baada ya bachelors degree..so labda huna experience ya kukutetea au lah.
Pili, kama ulinganisha, naamini ulipomaliza bachelors ulipata kamuda ka kufanya kazi popote, unaweza kutumia huo mgongo wa cheti hicho kupanda juu wakati ukitafuta experience ya kutumia hicho cheti cha Masters. Serikalini kimsingi na kisheria hawawezi kuajiri mtu mwenye masters kama hana experience ya miaka 3 na kuendelea katika senior positions,
Mwisho, ukipata popote usidharau kazi...weka malengo kuwa unatafuta iyo experience then utatoka..
Angalia magazeti, websites za ajira pia.. kama mwananchi.co.tz. na jamiii forms sehem ya ajira.
All the best
 
Ndugu yangu ivi vyeti vye2 fresh frm school vinaonyesha kama havithaminiwi hadi hadi uwepo oficn ndio watavithamin. Kila sehem wanataka aliye na experience. Pole sana
 
nashukuru kwa ushauri mkuu ngoja naku pm kwa ufafanuzi zaidi

inabidi tuendelee kustruggle kwa nguvu zote tupate uzoefu maana hata sehemu za intern wanagoma
Ndugu yangu ivi vyeti vye2 fresh frm school vinaonyesha kama havithaminiwi hadi hadi uwepo oficn ndio watavithamin. Kila sehem wanataka aliye na experience. Pole sana
 
Masters ya Organisation Management kwa Tanzania ni ngumu kidogo kupata ila ungekuwa huku ugaibuni ni rahisi kidogo kama uko creative enough. Bado Tanzania haijafikia hatua hii ya utawala au uongozi katika mashirika yetu kwa kuwa mashirika haya huangalia au kutafuta cheap labour na hatimaye katika shirika utakuta good percent ya wafanyakazi ni unskilled kwa kuwa pia level ya uzalishaji Tanzania inategemea sana unskilled labour kwa kuwa hakuna sophistication katika uzalishaji wetu where more skilled labour inatakikana.

Anyhow kwa level yako sasa unatakiwa ubunifu wa wewe kubuni mradi na kuwasimamia hawa unskilled labourers na sio kumangamanga kutafuta kazi. Wanaotafuta kazi kila kukicha ni hawa wasio na elimu ya juu kama ya kwako kwa kuwa watu kama ninyi hufikiri na kupanga kwa ajili yao.

In the same token tell us what can you create. Put your proposal here for appraisal na soon utajiajiri MWENYEWE na ndio maana ya kisomo. Kazi ungeweza kutafuta kama hujasoma.

Naomba kuwasilisha.
 
nimekupata mkuu nashukuru kwa ushauri naufanyia kazi

Mkuu mbona tunatishana,
?!!
Last monday nimeanza MBA-Corporate Management, so ntakua napoteza muda na fweza tu?
Niambie tu kabisa nianze michakato ya kubadili kozi.
 
unapoteza muda tu hapo.
 
mwanangu kila mtu na bahati yake kama unao wa kukubeba wewe piga shule tu utabebwa ila sio siri mie nina full experience ya miaka 5 lakini mpaka sasa nipo kitaa tu na masters tyangu mkononi
unapoteza muda tu hapo.
 
Hata kama una PHD ya Management kama huna uzoefu wa kazi ni bora ukatafuta nafasi ndogo ndogo kwanza kabla ya kufikiria kazi inayoendana na taaluma yako, huu ndio ukweli wa mambo, Kukimbilia Masters wakati huna experience ya hata miaka miwili ni kutengeneza tatizo.
 
Masters ya Organisation Management kwa Tanzania ni ngumu kidogo kupata ila ungekuwa huku ugaibuni ni rahisi kidogo kama uko creative enough. Bado Tanzania haijafikia hatua hii ya utawala au uongozi katika mashirika yetu kwa kuwa mashirika haya huangalia au kutafuta cheap labour na hatimaye katika shirika utakuta good percent ya wafanyakazi ni unskilled kwa kuwa pia level ya uzalishaji Tanzania inategemea sana unskilled labour kwa kuwa hakuna sophistication katika uzalishaji wetu where more skilled labour inatakikana.

Anyhow kwa level yako sasa unatakiwa ubunifu wa wewe kubuni mradi na kuwasimamia hawa unskilled labourers na sio kumangamanga kutafuta kazi. Wanaotafuta kazi kila kukicha ni hawa wasio na elimu ya juu kama ya kwako kwa kuwa watu kama ninyi hufikiri na kupanga kwa ajili yao.

In the same token tell us what can you create. Put your proposal here for appraisal na soon utajiajiri MWENYEWE na ndio maana ya kisomo. Kazi ungeweza kutafuta kama hujasoma.

Naomba kuwasilisha.
You are very smart my brother, umenikuna sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom