Nina masters ya management ila nashangaa kazi imekua ngumu kupata

katika kiwango cha masters, unahitaji kuwa na uzoefu wa angalau miaka mitatu kwani kwa mujibu wa miundo ya utumishi serikalini, unaweza kupata senior position (mfano senior administrative officer II). na shida itakuja kama una masters lakini huna huo uzoefu. hapo utakuwa bado unapungua sifa, kwa hiyo una option mbili.

1. jaribu private sector (ila ujiandae kwa ushindani mkali unaojali matokeo ingawa nako wanahitaji uzoefu pia)
2. tumia bachelor yako kutafutia kazi na ukishaipata utaangalia namna ya kunyofoa masters na kuianika ili kufikiriwa promotion kama itawezekana (hapo pia waweza kuangushwa na umri manake kama umri ni mkubwa, waajiri watasita kukuajiri katika junior positions)

kwa kweli kama una masters na una uzoefu wa miaka mitatu na kuendelea, kazi ni nyingi sana na hata unaweza kuwa unachagua unayotaka, ili mradi tu uwe mwaminifu, yaani usiwe na kashfa yoyote au rekodi ya utoro, ugomvi, uvivu, ubishi kwa mabosi wako nk.

hata hivyo, Mungu hajawahi kutuacha na siku zote hutuwazia yaliyo mema. anajua hata idadi ya nywele vichwani mwetu. waangalie mashomoro, angalia maua ya kondeni, jinsi Bwana anavyoyarutubisha na kuyatunza! je, sisi si bora zaidi yao? usikate tamaa mpendwa, endelea na juhudi zako za kutafuta kazi na hata kuongeza elimu zaidi ukipata fursa, usikatishwe tamaa na maneno ya watu au maringo ya mabosi huko maofisini.

natumaini umenisoma vyema,

ubarikiwe sana mpendwa na kila la heri

Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!
I love you..
 
nina experience ya miaka 5 kazini
Hata kama una PHD ya Management kama huna uzoefu wa kazi ni bora ukatafuta nafasi ndogo ndogo kwanza kabla ya kufikiria kazi inayoendana na taaluma yako, huu ndio ukweli wa mambo, Kukimbilia Masters wakati huna experience ya hata miaka miwili ni kutengeneza tatizo.
 
nchi hii sijui hata imekuweje bado tu naganga njaa mtaani na masters ya ngu ya management miaka ile ilikua mteremko lakini naona dunia ya sasa imebadilika hii sio tanzania ile ya miaka ile jamani nisaidieniiiiiiiiiiiiii
mkuu ndio maisha

ushauri ni wkamba elimu pekee sio leseni ya kupata kazi, people are looking into many attributes to recruit someone... in my position mtu akija na masters bila work experience na mwingije akija na bachelor with experience namuangalia zaidi mwenye bachelor kwasababu he/she has more to offer in a short term while we prepare for a longer term plan
aliyesoma masters anaweza akaja na nadharia luluki za akina ford, porter, maxwell, na wale wajapani lakini asinisaidie moja kwa moja

it is difficult but that is life
 
nchi hii sijui hata imekuweje bado tu naganga njaa mtaani na masters ya ngu ya management miaka ile ilikua mteremko lakini naona dunia ya sasa imebadilika hii sio tanzania ile ya miaka ile jamani nisaidieniiiiiiiiiiiiii

kwa ujumla unapishana na gari la mpango mzima wa sasa yaani elimu yote hiyo hata huwezi kupanga cha kufanya. there are alot of opportunities outthere it all depends on how you playa your cards. infact kama kweli umepita chuoni utaungana na mimi kuwa curricular za sasa ni more user friendly than ever as they take care of the prevailing atmosphere in the job market. labda kama ulisoma kupata digrii lakini kama ulisoma ukaelimika huwezi kukosa kazi. kama ni shoe shine maanake unaanzisha shoeshine company well orgamised sasa ni kuwatafuta wateja maofisini na kuulizia mahitaji ya kubrashi viata vyao. ni lazima uwe tolerant na upersevere. otherwise wasomi wa kibongo you are too selective wote mnataka umeneja wa benki na benki zinahesabika ilhali mnaomaliza MBA MKO MARA 10 KULIKO MAHITAJI.HUO NI MFANO TU LAKINI KUNA VITU VINGI VYA KUFANYA NI CHAGUO LAKO. ACHANA NA COLONIAL MINDSET. USITAKE KUWA KAMA BABAAKO. NI WAKTI UMEBADILIKO
 
nchi hii sijui hata imekuweje bado tu naganga njaa mtaani na masters ya ngu ya management miaka ile ilikua mteremko lakini naona dunia ya sasa imebadilika hii sio tanzania ile ya miaka ile jamani nisaidieniiiiiiiiiiiiii
Mkuu ulipomaliza bachelor ukaunganisha masters?
 
katika kiwango cha masters, unahitaji kuwa na uzoefu wa angalau miaka mitatu kwani kwa mujibu wa miundo ya utumishi serikalini, unaweza kupata senior position (mfano senior administrative officer II). na shida itakuja kama una masters lakini huna huo uzoefu. hapo utakuwa bado unapungua sifa, kwa hiyo una option mbili.

1. jaribu private sector (ila ujiandae kwa ushindani mkali unaojali matokeo ingawa nako wanahitaji uzoefu pia)
2. tumia bachelor yako kutafutia kazi na ukishaipata utaangalia namna ya kunyofoa masters na kuianika ili kufikiriwa promotion kama itawezekana (hapo pia waweza kuangushwa na umri manake kama umri ni mkubwa, waajiri watasita kukuajiri katika junior positions)

kwa kweli kama una masters na una uzoefu wa miaka mitatu na kuendelea, kazi ni nyingi sana na hata unaweza kuwa unachagua unayotaka, ili mradi tu uwe mwaminifu, yaani usiwe na kashfa yoyote au rekodi ya utoro, ugomvi, uvivu, ubishi kwa mabosi wako nk.

hata hivyo, Mungu hajawahi kutuacha na siku zote hutuwazia yaliyo mema. anajua hata idadi ya nywele vichwani mwetu. waangalie mashomoro, angalia maua ya kondeni, jinsi Bwana anavyoyarutubisha na kuyatunza! je, sisi si bora zaidi yao? usikate tamaa mpendwa, endelea na juhudi zako za kutafuta kazi na hata kuongeza elimu zaidi ukipata fursa, usikatishwe tamaa na maneno ya watu au maringo ya mabosi huko maofisini.

natumaini umenisoma vyema,

ubarikiwe sana mpendwa na kila la heri

Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!

Amazing. Kwa kweli nami umenipa matumaini mnooo. Ningeomba km inawezekana nije pm kwa mawazo zaid. Nawasirisha.
 
bonge la ushauri, kazi inatafutwa sana na watu wa elimu ndogo kwa wenye level kubwa, kidogo ni ngumu kupata,kwaio cha msingi ndugu yangu usikate tamaa ya kutafuta.
 
Back
Top Bottom