Nina mashaka na Bwana Inayat Kassam wa Kenya

Nini kilichopelekea mleta mada kuwa na wasiwasi na Inayat?

Ulipoamka wewe mimi nilipapita miaka 40 nyuma.

Tatizo ni shule uliyoenda, ilikufundisha kusoma haikukufundisha kuelewa unachokisoma. Hizo ndiyo shule za kusomesha ujinga.
Nimekuvua vyeo vyoote nilivyokupa kutokana na michango yako constructive ambayo nimekutana nayo hum jf kwenye majukwaa tofauti.

Kwa mchango huu hapa dogo/dada/mama/bibi umepuyanga tena vibaya sanaaaa
 
Dada lazima aje kulipa fadhila kwa kupandisha sketi juu, alafu anashusha kufuli chini! ALAFU ANASHIKA MAGOTI HUKU ANAZUNGUSHA NYONGA KIMUGONGO MUGONGO. Yaani hapo kama Captain America vile akiwa kazini
Waingereza washamchukua arudi kwao.
 
Nini kilichopelekea mleta mada kuwa na wasiwasi na Inayat?

Ulipoamka wewe mimi nilipapita miaka 40 nyuma.

Tatizo ni shule uliyoenda, ilikufundisha kusoma haikukufundisha kuelewa unachokisoma. Hizo ndiyo shule za kusomesha ujinga.
Mte radhi mleta mada, kama unajisikia kuwa muungwana.
 
Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam basi ninao sana, kwanza ni Uislam wangu kisha mengine.

Lakini kama una maana nyingine kuhusu "udini" tafadhali nifahamishe na mimi nielewe.
Na ndio maana mfalme wenu jiwe kawafunga mdomo kenge wahed

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Nini kilichopelekea mleta mada kuwa na wasiwasi na Inayat?

Ulipoamka wewe mimi nilipapita miaka 40 nyuma.

Tatizo ni shule uliyoenda, ilikufundisha kusoma haikukufundisha kuelewa unachokisoma. Hizo ndiyo shule za kusomesha ujinga.
Udini umekujaa Mpaka unajistukia stukia hovyo.shame on you.
 
Sema Uislam umekujaa. Usiogope.

Kama kwa neno "udini" unamaanisha Uislam basi ninao sana, kwanza ni Uislam wangu kisha mengine.

Lakini kama una maana nyingine kuhusu "udini" tafadhali nifahamishe na mimi nielewe.
 
Moderator tafadhali tazama huyu anaejiita Masking Agent anavyobadili post. Hii post aliyoitengeneza na kujidai kuwa anani quote mimi. Huu ni uongo. Imeandikwa hapo hapo kwake, haina mwanzo. na ni fitna kubwa sana.

Siwezi kuandika ujinga huo.

Hapa tushindane kwa hoja na isifikie kutengeneza fitna za namna hiyo.

Naomba Moderator mumchukulie hatua sahihi.
Kwahiyo umeamini mimi sikutengeneza?
 
Ni upuuzi kuwa na machale au kumsifia mtu anayeenda baada ya tukio huku watu wakiwa wamepoteza maisha na majeruhi. Hii inaonyesha kufeli kwa intelligence ya nchi

KDF imefanya kazi kubwa ila sababu wakenya wanaabudu sana watu weupe sifa zote zinaenda kwake.

Kenya iwekeze kwenye intelligence ya nchi itakayozuia haya mambo yasitokee sio kusifia aftermath of.
Mimi pia najiuloza, a hero with only a pistol!! Nahisi kuna jamno linakuzwa mno. Hongera KDF (RECCE?) na pia asante kwa huyu ndugu mweupe

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Niki
Inasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo tekelezwa na Magaidi wa Al -Shaabab pale Westgate,Nairobi.Alipambana na alistahili zile heko!

Jana pia pale Riverside 14 km sikosei alifanya jambo fanani na lile alilopata kulifanya pale west gate katika Jiji hilo hilo,Nairobi.

Ninayo maswala mawili najiuliza huyo bwana kiintelinjesia kwa nini asichunguzwe kwanza hasa sababu ya kwanini mara zote katika matukio yale alikuwa sehemu ya watu waliofika mapema zaidi ya wengine na kuanza harakati za uokozi!

Je ni kweli ni msamaria mwema pekee?Je hana unasaba wowote na magaidi wale hasa kupitia utalamu wake wa mafunzo yale?

Kwanini kwa mfano jana ilikuwa rahisi mno kwa uzungu/weupe wake kudunguliwa kwa eneo na namna alivyokuwa kweupe na kuonekana na Magaidi wale?!

Hakika ninayo mengi ya kujiuliza kumhusu huyo bwana!Nashauli vyombo vya dola pale Kenya wamchunguze huyo Inyaat!Inawezekana uokozi wake ni GERESHA......!
Nikisema nimekuelewa ntakuwa nadanganya
 
Time will tell
Yawezekana ndo kinara mhusika namba 1
 
Nini kilichopelekea mleta mada kuwa na wasiwasi na Inayat?

Ulipoamka wewe mimi nilipapita miaka 40 nyuma.

Tatizo ni shule uliyoenda, ilikufundisha kusoma haikukufundisha kuelewa unachokisoma. Hizo ndiyo shule za kusomesha ujinga.
NI KWELI LAKINI, ILA UMEMCHAMBA DADA, BADO ANAKUWAZA UJUE
 
TUNACHOKIONA KWA INAYAT NI ISHARA Y A KWAMBA SISI BADO TUPO NYUMA KATIKA MASUALA YA KI ITELEJENSIA! WENZETU HAWANAGA TABIA YA KUFANYA MAMBO ILI APEWE PONGEZI! ASKARI WETU HUFIKA KATIKA MAENEO YA MATUKIO BAADA YA MAITI KUONEKANA, WENZETU WANAO UWEZO WA KUSOMA MOVEMENT NA VIASHIRIA VYOTE VYA HALI YA HATARI! NDIYO MAANA USISHANGAE KUMUONA KUWA WAKWANZA INAWEZEKANA ALIKUWA NA WASIWASI NA TUKIO NA AKAWA MAENEO HAYO AU JIRANI NA HAPO!

WENZETU WANA WATU WENYE UWEZO WA KUFIKIRI KAMA ALEXANDER MAHONE (KAANGALIE PRISON BREAK), LILE NI IGIZO LAKINI KWA WENZETU WAKINA MAHONE WAMEJAA! KWA HIYO TUSIMSHANGAE INAYAT. HUENDA HUKO KWAO AKAWA NI MTU MDOGO SANA KWA UHODARI NA SASA YUPO KWETU KUPATA CREDIT ZA HUKO KWAO!
 
Inasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo tekelezwa na Magaidi wa Al -Shaabab pale Westgate,Nairobi.Alipambana na alistahili zile heko!

Jana pia pale Riverside 14 km sikosei alifanya jambo fanani na lile alilopata kulifanya pale west gate katika Jiji hilo hilo,Nairobi.

Ninayo maswala mawili najiuliza huyo bwana kiintelinjesia kwa nini asichunguzwe kwanza hasa sababu ya kwanini mara zote katika matukio yale alikuwa sehemu ya watu waliofika mapema zaidi ya wengine na kuanza harakati za uokozi!

Je ni kweli ni msamaria mwema pekee?Je hana unasaba wowote na magaidi wale hasa kupitia utalamu wake wa mafunzo yale?

Kwanini kwa mfano jana ilikuwa rahisi mno kwa uzungu/weupe wake kudunguliwa kwa eneo na namna alivyokuwa kweupe na kuonekana na Magaidi wale?!

Hakika ninayo mengi ya kujiuliza kumhusu huyo bwana!Nashauli vyombo vya dola pale Kenya wamchunguze huyo Inyaat!Inawezekana uokozi wake ni GERESHA......!
Kweli aisee wale wenzake kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hanna cha ushujaa Wala nn tapeli tu hyu
Hata mimi nimejiuliza...inakuwaje awepo kwenye matukio mawili ya kighaidi kwenye sehemu mbili tofauti na yaliyopishana kwa takribani miaka mitano?

Ndiyo, yawezekana ikawa ni sadfa tu.....ila hmmm.....

Hata hivyo, hongera zake. Alichokifanya ni ushujaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom