Nimsamehe au?

Nimsamehe au?

symwo

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
152
Reaction score
49
Nina mpnz ambae tumedumu nae kwa miaka miwili sasa ila hatujawahi ku-do kabisa, wakati tunaanza mahusiano yetu tulikubaliana hatufanyi mpaka ndoa ambayo tumepanga tufunge this year, which is the 3rd year tangu tumejuana, ila in one week mwenzangu alinipa shock baada ya kunambia kuna mdada walizoeana huko ofisini wakajikuta wame-do na ameshindwa kabisa kufanya siri mana kila akiniona roho inamsuta na asingejisamehe kama angeficha mpaka tukafunga ndoa ndio akanambia...maana mimi ningekuwa najua tumejitunza wote ila yeye huko ashafanya yake, amesema thy dd it once n never again n he decided kukata mawasiliano na mazoea kabisa na huyo dada, anaomba msamaha na anasema ata nikitaka anipeleke kwa huyo dada ili athibitishe hamna kitu kati yao ilikuwa ni tamaa ya mwili tu.Kwa upande wangu sijamuelewa kabisa nimemchunia , anapiga simu sana na sms za sorry kuwa he doesnt want to loose me! He is really a good guy cjui ata what happened kwakweli ila moyo unasita kumsamehe....nishaurini jamani nifanyaje? Mana sa ivi ata nikimuwaza napata picha ya tukio zima dah ka nilikuwepo, or i should just take my time before taking any decision? Sielewi
 
Mpaka kakwambia ukweli.......! mi naona umsamehe kwakweli.... angeamua kukuficha angeweza
 
Hili linategemea uzoefu wako, kama ni mgeni wa mapenzi lazima uwe na mawenge.

Kuna wanaoolewa na kuletewa watoto wa nje au miwaya
 
Msamehe tu, wew si ulimbania mpaka ndoa sasa kapata watu wa easy go wakamlaghai msamehe tu
 
Una bahatiii yanii jamaa ako amemdinya MTU nje kaja kukwambia...Huyo Kweli mume mwemaa..wish could get that one
 
Haya ndio matatizo ya kubaniana. Kwan mngeamua kupeana mara mojamoja kungekuwa na tatizo gani? Shukuru Mungu umempata huyo mume mwema kwasababu anajutia hata yaliyofanyika gizan. Nafikir ungepata mwanaume mwenye akili kama yangu aisee! Ungelia mpaka uchoke kwasababu ingekuwa ni mwendo wa kupiga nje tu ningeweza hata kukulete watoto wa nje..... Ukimuacha huyo jamaa ipo sku utakuja kumlilia lakn nafas haitakuwepo tena.
 
!
!
angalia faida za kumsamehe ni ndogo mno kulinganisha na maumivu uliyopata nakushauri usitishe mahusiano hayo...kama kinyume piga moyo konde msamehe
 
msamehe! ulifanya kosa mwenyewe kitendo cha kumbania mwaka mzima ulitegemea mihemuko yake akamalizie wapi? usiachie hiyo bahati olewa
 
msamehe..navyopenda mtu mkweli yani ningesamehe fasta
 
Msamehe tuu, kosa sio lake, tatizo ukame ulimwandama...
 
Kwani rich pol anakufichaga mumie!!!

Shoga wee a cha tu ktanda usichokilalia hujui kunguni wakeeee...rich pol mtata asemagii name hvi mie mama kijacho anatembeza mpinii nje sana
 
Wako huwa hakwambii?

Anapgaga kmya tena nkitaka kujua tu kama kachepuka akirudi kwangu huaga ananipumbaza na mapenz moto moto mpaka naogopa...kumbe hapo ananichoraaaa
 
Back
Top Bottom