Nina mpnz ambae tumedumu nae kwa miaka miwili sasa ila hatujawahi ku-do kabisa, wakati tunaanza mahusiano yetu tulikubaliana hatufanyi mpaka ndoa ambayo tumepanga tufunge this year, which is the 3rd year tangu tumejuana, ila in one week mwenzangu alinipa shock baada ya kunambia kuna mdada walizoeana huko ofisini wakajikuta wame-do na ameshindwa kabisa kufanya siri mana kila akiniona roho inamsuta na asingejisamehe kama angeficha mpaka tukafunga ndoa ndio akanambia...maana mimi ningekuwa najua tumejitunza wote ila yeye huko ashafanya yake, amesema thy dd it once n never again n he decided kukata mawasiliano na mazoea kabisa na huyo dada, anaomba msamaha na anasema ata nikitaka anipeleke kwa huyo dada ili athibitishe hamna kitu kati yao ilikuwa ni tamaa ya mwili tu.Kwa upande wangu sijamuelewa kabisa nimemchunia , anapiga simu sana na sms za sorry kuwa he doesnt want to loose me! He is really a good guy cjui ata what happened kwakweli ila moyo unasita kumsamehe....nishaurini jamani nifanyaje? Mana sa ivi ata nikimuwaza napata picha ya tukio zima dah ka nilikuwepo, or i should just take my time before taking any decision? Sielewi