kama unampenda msamehe mama ili usife mapema jiwekee akili mwako hakuna mwanaume wa peke yako
Bheeeee, kuna mtu kaiba pasiwedi yangu.Say whaaaat?
Kumnyima mwenzio papuchi ni kumnyanyasa kijinsia,vile vile ni kinyume na haki za binadamu.miss chagga upo hapo!
kama unampenda msamehe mama ili usife mapema jiwekee akili mwako hakuna mwanaume wa peke yako
Una bahatiii yanii jamaa ako amemdinya MTU nje kaja kukwambia...Huyo Kweli mume mwemaa..wish could get that one
Mwambie huyo watu wanapigiwa show kila kukicha(kumegewa ni siri ya ndani)ile kitu imeletwa ili to share
Inawezekana amekwambia hvo ili uone wivu na umpe k,au ni kweli hicho kitu amekifanya na hawezi kuacha,yaani two years umembania eti unajichunga lol is that possible?unadhan kama kabla hajakutana na wew alikua na mpnz mwingine na wakasex ataweza kuvumilia 2yrz kweli? wewe sema umeliwa!usitegemee kama miaka hyo miwili alikaa kavu wakati tayari alikua anaijua tamu.na inawezekana ulimwambia no sex mpaka ndoa kwasababu ulikua unamtu mwingne aliyekua anakupa hyo tamu,au labda ww bado ni virgin who know?muonja asali haachi.msamehe muendelee na mipangpo yenu,ukitaka mpe k na manjonjo yote ili asiende tena nje na mfunge ndoa yenu kwa aman.
unajua kuna wanawake wengne haziwatoshi kabisa anambania mshikaji na usikute limet oombwa huko halafu sasa hvi linajifanaya linamsimamo. Hivi akiangaliwa atakutwa na bikra kweli? Watu kama hawa dawa yao ni kuwashona mimba tu
sijamnyima kabisa ajaomba vizuri