Nimpende nani JF

Duh, mie ntawashikilizia nywele zisimzinge macho akashindwa kusikiliza sera zenu.
 
PJ..mbona unazidi kumpa mbinu ili ashinde hii game...mbaya zaidi unamtajia hadi chimbo la kwenda kutumia..dah...inabidi nikaze vinginevyo PJ na TANMO watafanikiwa...ila mie siuzi kuku wala nini..nasema na Bonus yangu tu ya umachinga kilo MBILI mkononi..na Mweka Preta KAWE CLUB kula BATA mwanzo Mwisho

Wewe una hela mimi nina Mungu.. lol
 
Nikuambie kitu
Anampenda Jerry, Tom sidhani
Badili Avatar fasta
Jombaa ujue nimemchagua hy binti..ananivurugaga ile kinyama...we kama vipi amishia majeshi kwa Afrodenzi..Arifu..ila huyo mtoto Preta acha niruke naye ...
 
Jombaa ujue nimemchagua hy binti..ananivurugaga ile kinyama...we kama vipi amishia majeshi kwa Afrodenzi..Arifu..ila huyo mtoto Preta acha niruke naye ...

Afrodenzi anda eji bana, atanisumbua..
 
Mkuu isijekuwa unataka niuze shamba la urithi ili ule pesa yangu, huoni kwamba Mtu chake ana miopsheni kibao mkuu?
Alianza na Smile akaja sijui nani mwishoe ndo akaamua kuangukia kwa Preta,
huyu jamaa atamliza tu Preta bana, mkabidhi kwangu kwenye mikono salama, umasikini wangu usikutishe, ipo siku nitakuwa tajiri kama Rizuwani...​

Mkuu TANMO..Yaani kabisa unataka mtoto Preta aje kwako kupata uzoefu wa kushinda njaa?...hahahahahaha...vibaya hivyoo..acha Toto lije kwangu kula BATA...
 
Mkuu TANMO..Yaani kabisa unataka mtoto Preta aje kwako kupata uzoefu wa kushinda njaa?...hahahahahaha...vibaya hivyoo..acha Toto lije kwangu kula BATA...

usiseme hivyo Bana, kwanza yeye mwenyewe mambo safi, hawezi kushinda njaa...
Ilii kumaliza ubishi we chukua Kongosho, malizana naye mi niachie Preta..
Unajua Kongosho anakuzimia kinoma sema anakosa pozi la kukuambia...
 
Maana yake namwambia hana chake
Kama mambo yake yako kitom tom
Bora aahirishe mapema kabla hajafungwa vibaya sana na TANMO
Yani Kongosho ulivyosikia Jamaa ana hela ndo unampa hadi mbinu ili ashinde?
 
usiseme hivyo Bana, kwanza yeye mwenyewe mambo safi, hawezi kushinda njaa...
Ilii kumaliza ubishi we chukua Kongosho, malizana naye mi niachie Preta..
Unajua Kongosho anakuzimia kinoma sema anakosa pozi la kukuambia...​

Naona unanitia Chaka Mkuu TANMO..hapana..mie nina msimamo bana kwa Preta sitoki Ng'o..kama vipi wewe jiweke kwa kongosho
 
Maana yake namwambia hana chake
Kama mambo yake yako kitom tom
Bora aahirishe mapema kabla hajafungwa vibaya sana na TANMO

Naam,
ndo maana nakupendaga Kongosho,
heb nipe ma mbinu mengine basi ya kumnasa mtoto yule.
nikimpata tu Preta tutagawana umasikini na vijisenti vyake, manake nasikia kwao mambo safi kweli kweli..
Naona PJ ameanza kudai kamisheni kabisa manake anajua nikifanikiwa nitakuwa nimeupiga teke umasikini..
 
Naona unanitia Chaka Mkuu TANMO..hapana..mie nina msimamo bana kwa Preta sitoki Ng'o..kama vipi wewe jiweke kwa kongosho

Read between the lines Bro.

Maana yake namwambia hana chake (anajaribu kukukatisha tamaa kwa Preta)
Kama mambo yake yako kitom tom (Kongosho anamzimia sana Tom)
Bora aahirishe mapema kabla hajafungwa vibaya sana na TANMO (kwa maana kwamba TANMO amchukue Preta, Mtu Chake akose labda atamfikiria Kongosho)
 
quote_icon.png
By mtu chake
Naona unanitia Chaka Mkuu TANMO..hapana..mie nina msimamo bana kwa Preta sitoki Ng'o..kama vipi wewe jiweke kwa kongosho

Read between the lines Bro.

quote_icon.png
By kongosho
Maana yake namwambia hana chake (anajaribu kukukatisha tamaa kwa Preta)
Kama mambo yake yako kitom tom (Kongosho anamzimia sana Tom)
Bora aahirishe mapema kabla hajafungwa vibaya sana na TANMO (kwa maana kwamba TANMO amchukue Preta, Mtu Chake akose labda atamfikiria Kongosho)

  • ..hahahahahahaha...mkuu mbona unaomba msaada kwa jirani...nishakuambia kuwa Preta wangu..yeye wakishua mm mtafutaji..tena nilishapitia maisha ya kishua..ila Kongosho ananimaliza..Tom ndio jembe mkuu..ila naweza badili ili mtoto ajae kwenye 18 zangu wazo zuri..

    nishapanga Kumpa zawadi siku ya Boxing Day ..
 
Wewe una hela mimi nina Mungu.. lol
We nae usianze kuleta kauli za Wanasiasa hapa bana!...
Mungu tunampenda tunamwabudu tunamwamini, na tunamheshimu...Lakini mwisho wa siku ni lazima PESA japo kidogo ipatikane!
Mungu nimjuaye mimi hakuumba masikini!...tunamsingizia mno!
 
usiseme hivyo Bana, kwanza yeye mwenyewe mambo safi, hawezi kushinda njaa...
Ilii kumaliza ubishi we chukua Kongosho, malizana naye mi niachie Preta..
Unajua Kongosho anakuzimia kinoma sema anakosa pozi la kukuambia...
Aisee, hii kali ya kufunga mwaka!....du!
Kongosho anashindwa hata kumtumia Mtu Chake Pipi-JOJO ili ifikishe ujumbe!
Basi ana domo zito kama langu!...heee!
 
Naam,
ndo maana nakupendaga Kongosho,
heb nipe ma mbinu mengine basi ya kumnasa mtoto yule.
nikimpata tu Preta tutagawana umasikini na vijisenti vyake, manake nasikia kwao mambo safi kweli kweli..
Naona PJ ameanza kudai kamisheni kabisa manake anajua nikifanikiwa nitakuwa nimeupiga teke umasikini..
Aisee broda,
Mi sijadai kamisheni bana, nimesema kama una fifty YA KARIBU fanza fanza. ..hiyo sio kamisheni bana, ni hela ya Azam-Cola tu!
 
  • ..hahahahahahaha...mkuu mbona unaomba msaada kwa jirani...nishakuambia kuwa Preta wangu..yeye wakishua mm mtafutaji..tena nilishapitia maisha ya kishua..ila Kongosho ananimaliza..Tom ndio jembe mkuu..ila naweza badili ili mtoto ajae kwenye 18 zangu wazo zuri..

    nishapanga Kumpa zawadi siku ya Boxing Day ..

We Jamaa Bana!!

Anyway, kuna hii Habari nimeikuta mahali..

[/QUOTE]Kumbe Preta wa Arusha ni kidume

na mwandishi Maalum.

Mtu maarufu humu jamvini anayetambulika kwa Jina la Dada Preta amegundulika kuwa ni Kidume cha mbegu ambaye ana wake watatu pamoja na watoto 11. mtu huyo amegundulika kwa jina la Athumani kambambili mkaazi wa Yaeda chini Jijini Arusha. Kutokana na tatizo la ukata pamoja na majukumu ya kutunza familia, Bwana Athumani (au Da' Preta kama alivyozoeleka humu Jamvini) kwa kushirikiana na Swaiba wake wa Karibu jina tunalihifadhi (ambaye jamvini amezoeleka kwa jina la Pi Jei) walibuni mbinu ya kujipatia kipato kutoka kwa memba wakware ambao masaa yote wanawaza kuduu.

Habari kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika zinapasha kuwa Bwana Athumani amekubaliana na Rafikiye (Pii jei) kuwa awe anampigia chapuo kwa wale wote watakaoonekana kutaka kumpata "Da' Preta" na kwamba Pii Jei ndiye amepewa jukumu la kupokea huo mshiko kutoka kwa wakware pamoja na kuwaambia venyu ya kukutana na "Da' Preta". imebainika kuwa wana mtandao mkubwa kwani kuna dada ambaye ni Mhudumu wa Pub moja maarufu Jijini Arusha ambaye amepewa jukumu la kuongea na Mkware yeyote anayetaka kulonga na "Da' Preta".

Vyanzo vyetu vimezidi kupasha kuwa Bwana TANMO alipojaribu kurusha kete yake kwa gia ya kwamba yeye ni fukara lakini yuko tayari kumpenda "Da' Preta" mpaka kifo kiwatenganishe, alipingwa vikali na Bana Pi Jei ambaye alimtaka akauze shamba lake la urithi ndipo ataweza kusikilizwa ombi lake. bwana mtu Chake ambaye alijitanabaisha moja kwa moja kwamba ana pesa anasemekana kukubalika zaidi na Ndugu Pii Jei ambaye anajifanya kumpa maujanja zaidi namna ya kumnasa "Da' Preta" ili Mtu Chake aingie kingi na kutoa Mshiko wake. tutaendelea kufuatilia kwa ukaribu na tutawajilisha iwapo Mtu Chake ataingizwa mjini ama la.[/QUOTE]

Mi simo :car:
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom