Nimpende nani JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimpende nani JF

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mtu chake, Dec 20, 2011.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Nimpende nani...Nimpende nani

  wazuri JF ni wengi ila kupata wa ukweli ni balaa
  wengi nia wajanja watoto wa mjini wamejaaa Tamaa


  asiwe kama FF kila kitu kupinga,awe kama Preta..ili nipate raha
  sio Mwali naogopa kila mtu atamkubali....

  JF chit Chat....
   
 2. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kazi unayo kaka
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,073
  Likes Received: 10,430
  Trophy Points: 280
  sio siri unajob ya kufanya. lakini kwani lazima huku jf.mchukue yule house girl wenu huyo atakuwa na adbu sana
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapo jomba umepatia!
  Katika wooote wanaomsaundi huyu binti, wewe ndo wamfaa!
  Kwa taarifa anahitajika mtu aliyetuliza akili, na sharti lake ni PENZI tu....hataki mia ya mtu!
   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  PJ...umejuaje mkuu...JF wazuri wengi..lakini kama Preta kumpata ndio balaa..mtoto hana Tamaa
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mi nahitaji mia yake as hata hiyo mia ya kumpa sina..
  Nipigie Chapuo basi Jombaa
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  We nae broda umezidi ugumu sasa!
  Ingekuwa ni mimi namchukulia mkopo Bank Of Baroda, au nauza shamba la Urithi!
   
 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  PJ...mbn unanisaliti sasa...mwenzio namtafutia zawadi ya X mass kwa ajiri ya Preta..TANMO...we mpotezee bana...acha dogo dogo ije kwangu
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Siyo ugumu kaka, ni hali halisi.
  Ili upate kitu inabidi uwe na kitu, huo mkopo nitaupataje wakati sina dhamana?
  Manake kila kukicha napigwa vibuti kwa sababu ya kutokuwa na hiyo mia,
  Wengi wanataka wenye mia, sasa kama yeye haitaji huoni kwamba ananifaa zaidi?
  Cha muhimu naahidi Upendo wangu kwake mpaka kifo kitutenganishe, lol

  Piga chini hii habari ya kuninanga hapa kafanye mambo kabla Mtu Chake hajaniwahi Bana..!
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Mkuu unajaribu kujitia huruma ili mtotot Preta akuonee huruma eeh....haya bana..ila mie mmachinga mjanja..na nang'oa hiyo ngoma man aalone..maana naona unataka kuunganisha nguvu na PJ
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Shughuli pevu iko.
   
 12. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh...ila Jamaa TANMO..anaingilia viwanja vya watu....kasahau kuwa JF wako akina AshaDii,Afrodenzi na watu kama hao...
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Broda,
  Unataka kusema hata shamba la Urithi umekosa?
  Ushikwapo shikamana mazee!...Vinginevyo naona kasi ya MTU CHAKE ni Supersonic!
  Angalia kwa umakini hii mambo broda!
   
 14. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  !

  hahahahahaha...MTU CHAKE anachukua CHAKE...ila tuache utani PJ..Preta kasimama ujue..
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Broda mi ni kweli ningependa apate ishu.
  Shida yake analia mno!
  Hata masikini kule kijijini kwake wanamiliki KUku bana, na ukiuza kuku 10 wa kienyeji tayari una KILO!
  Sasa kaENI na Preta na hiyo Kilo pale SISI KWA SISI pub, uone kama hataelewa somo lako!
  Ugumu hausaidii!
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Hilo liko hazarani, hata yeye binafsi anajua, ndio maana anawatesa watu sana hapa jamvini!
  Sasa broda sikia tuongee!
  Nakuona wewe uko siriaz ZAIDI kuliko TANMO!
  Mimi nina namba zake Preta!
  Sa fanya kutuma hiyo alfu 50 YA KARIBU ili niue soo!
  Nkuhakikishia unalamba dume!
  Achana na wa kuja TANMO!
   
 17. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #17
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  PJ..mbona unazidi kumpa mbinu ili ashinde hii game...mbaya zaidi unamtajia hadi chimbo la kwenda kutumia..dah...inabidi nikaze vinginevyo PJ na TANMO watafanikiwa...ila mie siuzi kuku wala nini..nasema na Bonus yangu tu ya umachinga kilo MBILI mkononi..na Mweka Preta KAWE CLUB kula BATA mwanzo Mwisho
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama una kisu si utafute mwingine Bana, mi namtaka Preta ili anitatulie umasikini wangu, kuwa na huruma basi Arifu?
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Mkuu isijekuwa unataka niuze shamba la urithi ili ule pesa yangu, huoni kwamba Mtu chake ana miopsheni kibao mkuu?
  Alianza na Smile akaja sijui nani mwishoe ndo akaamua kuangukia kwa Preta,
  huyu jamaa atamliza tu Preta bana, mkabidhi kwangu kwenye mikono salama, umasikini wangu usikutishe, ipo siku nitakuwa tajiri kama Rizuwani...
   
 20. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Jombaa ujue nimemchagua hy binti..ananivurugaga ile kinyama...we kama vipi amishia majeshi kwa Afrodenzi..Arifu..ila huyo mtoto Preta acha niruke naye ...
   
Loading...