Nimezikatilia mbali na safari imekufa

KORBOTO umetema madini sema hili la kufuatilia naweza ua
 
"....ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka"

Hapo yenyewe lazima hata mimi ningejua anamvalia mtu mwingine...
 
Ali
Ha ha ha ha ushapewa sasa au bado
Alinipa nikatandika ila niliumia baada ya dharau kuzidi kwa mumewe nikamwambia kama hatomuheshimu mumewe basi kwani alifanya kulipiza.sikuenda dharau zake kwa Mme wake. Toka kipindi hicho Niko mbali na wake za watu
 
Muda mwingine lazima maamuzi magumu yachukuliwe, kelebu kalaza papuchi ndani..!!

Angekua mvulana, angekuja kuomba ushauri mke wangu anavaa shanga wakati anatoka, nifanyaje.!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hongera mkuu Kwa kuilinda ndoa yako maana kuna wakati inakubidi uonyeshe wewe ni kichwa cha familia
 
Zichukue hizo shanga ulizokata na ziunge then mueleze hofu yako
 
Hiyo kauli ni mbaya sana na inaulakini mkubwa sana..

"ooho sipendi kuvaa nikiwa nyumbani mpaka nikiwa natoka"

Kwa maana hiyo anadhihirisha kwamba kuna mtu au watu anawavalia na kuenda kuwaonesha...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…