naunga mkono hoja vijana tupewe kazi tuchape kazi,mtaani kugumu wazeeYeah wapo hivyo , ila ni bora umpe mchongo kuliko 10k tu , na bahati wengi nawapa kazi na kuwaunganisha na kazi
Mungu akutangulie mkuu kwenye utoaji wakoMie walisha ninyoosha sana humu ndani, lakini haijanikatisha tamaa sababu nikiamua sadaka yangu kuitoa inabai kuwa nadhiri yangu kwa imani na maombi yangu.
Kwasasa nimeongeza umakini zaidi kwenye kupush vijana wapate connections na mengineyo.
Mungu anijaalie afya na moyo wa kusaidia wengine kama inavyo mpendeza.
Naomba sana niwe na moyo mnyenyekevu na hekma iniongoze kila ninapo fanya sadaka ama msaada.
mkuu binadamu wote hatuwezi kuwa sawa hata siku moja,na ili cycle ya maisha ikamilike lazima wawepo watu wa aina na tabia tofauti tofautiWanakosea sana wanapo kua sio waaminifu na wanaharibia wenye uhitaji wa kweli wanapo kosa uadilifu.
Yaani unakuta hautambui nani mkweli na yupi muongo.
Kwa uzoefu wangu mpaka Sasa kwenye hii Dunia, Walevi ni miongoni mwa watu wenye moyo wa kusaidia,Niwatoe hofu, ulevi wangu usiwape hofu kwani humu sio mara ya kwanza kusaidia watu
Mimi ningeulizwa ningesema Ushimen ni ndugu yako wa damu maana tabia zenu zinafanana.Hivi ulianzaje kunipa ushimen ghafla?
Mimi sina mwanaume hapa JF, usije kunipambanisha na wanawake zake bure..!!
Mnapenda sana masihara, mashekhe wanasema maskhara.Zipi? 😹
Mkuu:Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔
Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa kusaidia watu humu kwa namna ya kuwapa michongo na connection mbalimbali , mda mwingine nafanya kutoa sadaka kuwapa mitaji madogo, japo ni kidogo kwa wale waliobahatika wanajua.
Sisi sote humu ni ndugu kwa walio na moyo wa utoaji na kusaidia tusiache kusapotiana hata kwa kidogo tu.
Kiranga nzalendo The Icebreaker Bufa