Nimewaza hili🤔

Nimewaza hili🤔

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
59,975
Reaction score
173,470
Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔

Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa kusaidia watu humu kwa namna ya kuwapa michongo na connection mbalimbali , mda mwingine nafanya kutoa sadaka kuwapa mitaji madogo, japo ni kidogo kwa wale waliobahatika wanajua.

Sisi sote humu ni ndugu kwa walio na moyo wa utoaji na kusaidia tusiache kusapotiana hata kwa kidogo tu.

Kiranga nzalendo The Icebreaker Bufa
 
Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔

Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa kusaidia watu humu kwa namna ya kuwapa michongo na connection mbalimbali , mda mwingine nafanya kutoa sadaka kuwapa mitaji modogo, japo ni kidogo kwa wale waliobahatika wanajua.

Mkuu habari, naomba unijibu pm mkuu wangu
 
Kwanini hii kusapotiana haifanyiki makanisani wakati sadaka zinatolewa?
 
Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔

Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa kusaidia watu humu kwa namna ya kuwapa michongo na connection mbalimbali , mda mwingine nafanya kutoa sadaka kuwapa mitaji modogo, japo ni kidogo kwa wale waliobahatika wanajua.

Sisi sote humu ni ndugu kwa walio na moyo wa utoaji na kusaidia tusiache kusapotiana hata kwa kidogo tu.

Kiranga nzalendo The Icebreaker Bufa
Hii ni roho ya JF ninayoipenda. Connection moja inaweza kumbadilishia mtu maisha kabisa. Mungu awabariki wote wanaotumia walichonacho kuwainua wengine. Tusiache kusaidiana. 🤝
 
Yeah kushare ninachojua kikakupa faida na wewe ni msaada mkubwa mno ,hakuna aliye zaliwa ana pesa bwashee
 
Back
Top Bottom