Nimewaza hili🤔

Nimewaza hili🤔

Ungeshare hayo mawazo hapa huenda yakaweza kumsaidia na mwingine,

Au nakosea ndugu wananchi?
Mkuu ni mengi sana aisee, kimsingi ninakiri bila JamiiForums maisha yangu yangekuwa hayana thamani kabisa. Nitashare maana kuna mengine yapo huko kwenye mamlaka japo haki nayo ni kipengele sana, lakini nikikamilisha nitaandika hapa kubadilisha mitazamo ya wengi
 
Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔

Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa kusaidia watu humu kwa namna ya kuwapa michongo na connection mbalimbali , mda mwingine nafanya kutoa sadaka kuwapa mitaji madogo, japo ni kidogo kwa wale waliobahatika wanajua.

Sisi sote humu ni ndugu kwa walio na moyo wa utoaji na kusaidia tusiache kusapotiana hata kwa kidogo tu.

Kiranga nzalendo The Icebreaker Bufa
Connection ni za pesa tu au na kule kwenye maofisi makubwa ya Dodoma kama vile Wizara ya health, TAMI funga na fungua SEMI?
 
Mkuu ni mengi sana aisee, kimsingi ninakiri bila JamiiForums maisha yangu yangekuwa hayana thamani kabisa. Nitashare maana kuna mengine yapo huko kwenye mamlaki japo haki nayo ni kipengele sana, lakini nikikamilisha nitaandika hapa kubadilisha mitazamo ya wengi
Poa mkuu,

Nje ya mada,
Sijui kwanini hua nashindwa kukutofautisha na Chivundu mnafanana sana kwenye maandishi na kwenye vitu vingi humu JF.
 
Back
Top Bottom